Rejected: Arsenal have been unsuccessful in their bid for Newcastle's Yohan Cabaye
Tumia Tumia Tumia pesa Arsene Wenger akiwa katika shinikizo kutoka kwa mashabiki kutumia pesa kwa ajili ya wachezaji wazuri.
Taarifa zinasema kuwa Newcastle imekataa pauni milioni £10 kutoka klabu ya Arsenal kwaq ajili ya kumsajili Yohan Cabaye.
Nyota huyo wa kimataifa wa Ufaransa alijiunga na kikosi cha meneja Alan Pardew akitokea katika klabu ya Lille miaka miwili iliyopita amekuwa mchezaji mwenye mafanikio makubwa katika Premier League, kiasi kupelekea kuvutia klabu kubwa ikiwemo Manchester United.Kiwangom chake kimemvutia pia Arsene Wenger, ambaye mpaka sasa amesajili mchezaji mmoja tu majira ya kiangazi lakini hata klabub yake ya imeonekana kukataa ofa hiyo na anatagemewa kuanza katika mchezo dhidi ya Manchester City usiku wa leo.
Itakumbukwa Msimu wa 2011 katika tarehe za mwisho kuelekea kufungwa kwa dirisha la usajili bosi huyo alifanikiwa kuafanya usajili wa kushangaza kwa kuwasajili wachezaji wanne akitumia kiasi cha pauni milioni £25.
Wachezaji hao niAugust 30: Park Chu-Young, Monaco - Undisclosed
August 31: Mikel Arteta, Everton - £10m
August 31: Andre Santos, Fenerbahce - £6.8m
August 31: Per Mertesacker, Werder Bremen - £8m
Wachezaji hao niAugust 30: Park Chu-Young, Monaco - Undisclosed
August 31: Mikel Arteta, Everton - £10m
August 31: Andre Santos, Fenerbahce - £6.8m
August 31: Per Mertesacker, Werder Bremen - £8m
Mshabikiwa wa Arsenal walisikika wakizomea timu yao ilipofungwa mabao 3-1 na Aston VIlla katika mchezo wa ufunguzi wa msimu katika uwanja wao wa nyumbani Emirates Stadium Jumamosi wakimlaumu Wenger na mtendaji wa klabu hiyo Ivan Gazidis wakiwataka watumie pesa kwa ajili ya kufanya usajili.
Wenger sasa anaingia katika ukosoaji mkubwa katika maisha yake kwa kushindwa kufanya uwekezaji kwa wachezaji wakati ambapo inaripotiwa kuwa klabu hiyo imetenga pauni milioni £35 tu kwa ajili ya kunasa huduma za akina Michu na mlinzi Ashley Williams, huku mlinda wa Stoke
Asmir Begovic akiwa ni chaguo lake.
Bado kuna maswali mengi endapo Wenger atafikia yale aliyoyafanya kiangazi 2011 katika siku ya mwisho ya kufungwa kwa dirisha.
THE GREAT ARSENAL EXODUS
Arsenal have let 17 players go this summer, only bringing one in.
PLAYERS OUT: Andrey Arshavin (released), Denilson (Sao Paulo, free), Sebastien Squillaci (released), Martin Angha (Nuremberg, undisclosed), Craig Eastmond (Colchester, free), Conor Henderson (released), Jernade Meade (Swansea, free), Sanchez Watt (Colchester, free), Johan Djourou (Hamburg, loan), Vito Mannone (Sunderland £2m), Andre Santos (Flamengo, free), Francis Coquelin (Freiburg, loan), Joel Campbell (Olympiacos, loan), Chuks Aneke (Crewe, loan), Marouane Chamakh (Crystal Palace, free), Ignasi Miquel (Leicester, season-long loan), Gervinho (Roma, £8m).
PLAYER IN: Yaya Sanogo (Auxerre, free).
Michu kwasasa anahudumu Liberty Stadium akiwa na mkataba mpaka 2016 ambapo baada ya kufanya vema msimu uliopita mwenyekiti wa Swansea Huw Jenkins alishawishika kumkamata mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 27 mwezi Januari ikiwa ni miezi sita baada ya kujiunga nayo akitokea katika klabu ya Rayo
Vallecano kwa ada ya uhamisho ya pauni milioni £2.
Mshabiki wa Arsenal hawaelewi kwanini mtendaji mkuu Ivan Gazidis( pichani juu) hatumii pesa ndani ya klabu klabu.
No comments:
Post a Comment