KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Monday, August 19, 2013

Pablo Zabaleta aongeza miaka minne katika kikosi cha Pellegrini cha City.

Stalwart: Pablo Zabaleta has signed a new contract at Manchester City
Pablo Zabaleta (kulia) amesajili mkataba mpya na Manchester City

 Pablo Zabaleta amempa raha na matumaini makubwa meneja wa Manchester City Manuel Pellegrini kuimarisha kikosi chake kwa kuongeza mkataba wake kwa miaka minne.
Mlinzi huyo ameichezea City jumla ya michezo 175 tangu ajiunge nayo akitokea katika  klabu ya Espanyol, na amekuwa kipenzi cha mashabiki wa klabu hiyo huku akiwa nahodha katika michezo kadhaa.
Mkataba wake wa muda mrefu unaonyesha kuwa angependelea kusalia ndani ya klabu hiyo kwa muda mrefu lakini pia kusalia katika ligi kuu ya England Premier League na akipigana kusaka mataji zaidi ambapo atakuwa akishindana na mlinzi wa kulia Micah Richards.
‘Nimekuwepo hapa kwa miaka mitano na najisikia kuwa niuko nyumbani, kusaini mkataba wa nyongeza kutaifanya klabu hiyo kunipa furaha’.
‘Njisikia furaha hapa, napenda Premiership, na nadhani Manchester City ni klabu kubwa inayosaka mafanikio zaidi baadaye. Ni klabu ambayo iko katika muunganisho mzuri mfumo mzuri (well-organised) na upoona hilo unatamani kusalia hapa.’
Pellegrini amewaongeza wachezaji wakali kadhaa wakiwemo akina Fernandinho, Jesus Navas, Alvaro Negredo na Stevan Jovetic.
Zab's fab: Pablo has captained his club many times
Looking forward: The defender believes that new signings such as Jesus Navas (right) can drive City on for a title push
PICHANI akiwa na Jesus Navas (kulia).

No comments:

Post a Comment