KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Thursday, October 10, 2013

AGUERO KUREJEA ARGENTINA KUINUSU KLABU YAKE YA ZAMANI

Mshambuliaji wa Manchester City Sergio Aguero anafikiria kurejea nchini Argrntina kuichezea klabu yake ya zamani ya Independiete wakati wa uhamisho wa kiangazi ujao baada ya klabu yake hiyo ya zamani kuwa katika hatari ya kushuka daraja.

Aguero mwenye umri wa miaka 25 alianza soka ya kuonekana katika klabu hiyo inayoshiriki Primera B Nacional iliyoko nchini Argentina kabla ya kujiunga na Atletico Madrid mwaka 2006, miaka mitano kabla ya kujiunga na City.




Mshambuliaji huyo ametoa sababu ya kufikiri hivyo kuwa ni kujaribu kutaka kuinusu klabu yake hiyo ya zamani kutoka katika jaribio la kushuka daraja msimu huu.

"I love Independiente and, when they were relegated, I even thought about moving back there," Aguero told The Sun.

"I wanted to help the club to go up again. I definitely thought about it but my agent told me City would have killed us if we had.

"I know my job is at City, I am just saying the thought passed my mind when Independiente went down.

"I've been very happy at City since the day I came but I'm definitely going to back Independiente in a few years as I want to finish my career there."

No comments:

Post a Comment