Pages - Menu

Saturday, January 18, 2014

Clarence Seedof kuanza kibarua kesho dhidi ya Rossoneri

Mchezaji aliyetawaza mara kadha bingwa wa Champions League akiwa na AC Milan Clarence Seedorf anaanza rasmi awamu mpya ya kibarua katika klabu hiyo , mara hii akiwa kocha mkuu,  wakati kikosi hicho cha Rossoneri kikiikaribisha Verona kesho Jumapili.

No comments:

Post a Comment