Pages - Menu

Saturday, January 18, 2014

Kocha wa Liverpool Brendan Rodgers anaamini kuwa Daniel Sturridge anaweza kuongeza kiwango chake

Kocha wa Liverpool Brendan Rodgers anaamini kuwa Daniel Sturridge anaweza kuongeza kiwango chake cha soka wakati wekundu hao wanaowania ubingwa wa premeier league msimu huu wakiwa wamewakaribisha Aston Villa hii leo Jumamosi.

Sturridge amekuwa nje ya uwanja tangu mwishoni mwa Novemba akiuguza kifundo cha mguu lakini aliingia uwanjani na kupachika bao na kutayarisha lingine katika ushindi wa Liverpool wa mabao 5-3 dhidi ya Stoke City mwishoni mwa juma lililopita.

No comments:

Post a Comment