KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Friday, December 27, 2013

Gary Neville anasema Manchester City, Chelsea na United wana vikosi vya wa kutwaa kikombe lakini Liverpool mmmmmmmmmm...................

Utabiri kwa City: Gary Neville anasema majirani wa Manchester United watakuwa mabingwa msimu huu.
Nyota wa zamani wa kikosi cha Manchester United Gary Neville anaamini kuwa usajili wa kuvutiwa uliofanywa na meneja Manuel Pellegrini wakati wa usajili wa kiangazi uliopita ndio kielelezo cha mafanikio Manchester City ambayo anasema ina nafasi kubwa ya kutwa ubingwa wa Premier League msimu huu.
Pellegrini meneja mwenyu umri wa miaka 60 raia wa Chile alifanya bishara yenye malipo mapema na hivi karibuni kiungo raia wa Brazil Fernandinho pamoja na mshambuliaji raia wa Hispania Álvaro Negredo wamekuwa gumzo katika michezo ya ushindi dhidi ya Arsenal na Liverpool.

Anakaririwa Neville akisema
‘Nadhani Chelsea, City, United, wamekuwa na vikosi bora kuliko idadi kubwa na hakuana shaka juu ya hilo. City kwa upande wangu mpaka kufikia hatua hii ya msimu wamekuwa na kikosi imara zaidi.

Manchester City's Alvaro Negredo scores his teams second goal against Liverpool
Fernandinho of Manchester City celebrates scoring their fifth goal past Wojciech Szczesny of Arsenal

Picha za juu Fernandinho (kushoto) na Alvaro Negredo (kulia) wako katika kiwango cha juu katika wiki za karibu katika kikosi cha have hit top form in recent weeks for Man City

Riding high: Manchester City's captain Vincent Kompany celebrates with Negredo after scoring his team's equalising goal against Liverpool on Boxing Day
Nahodha wa Manchester City Vincent Kompany akishangilia baada ya Negredo kuandika bao kwa timu yake dhidi ya Liverpool siku ya Boxing Day

'Ukiwaangalia wachezaji hawa wanne walioongezwa kiangazi kwa upande wangu wanaonekana kama washindi wa taji mpaka sasa.’
Neville pia amekuwa akivutiwa na wapinzani wengine wakubwa United, Liverpool, na anasema kukosekana kwao kwa muda mrefu katika soka la Ulaya kwa kipindi kirefu imekuwa ni chachu ya mafanikio yao msimu huu.
Amekaririwa akisema
‘Liverpool msimum huu ni vutia na wamekuwa wakisema mchezo wa aina moja karibu kila wiki kwakuwa hawakuwa katika soka la Ulaya lazima uweke hiyo kama kigezo cha mafanikio yao.
Fresh: Liverpool's Luis Suarez has benefited from now playing European football this season
Suarez mwenye kiu ya kucheza michuano ya mabingwa Ulaya msimu huu

No comments:

Post a Comment