KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Friday, December 27, 2013

Atletico Madrid bado wanamlilia Diego Costa ambaye ana kiu ya kuchezea Ligi ya England

Mkurugenzi wa masuala ya soka wa Atletico Madrid Jose Luis Caminero ana matumaini kuwa Diego Costa (pichani kushoto) hana nia ya kuondoka mwezi Januari
Mkurugenzi wa maasula ya soka wa Atletico Madrid  Jose Luis Caminero ana matumaini kuwa mshambuliaji Diego Costa hana nia ya kuelekea katika ligi ya kuu ya England (Premier League) mwezi januari.
Costa amefunga jumla ya mabao 19 katika jumla ya michezo 17 ya Primera Division mpaka sasa msimu huu na amekuwa akihushwa na usajili ya pesa nyingi kuelekea katika vilabu viwili vya Arsenal na Chelsea.
Lakini Caminero anaamini mshambuliaji huyo Mbrazil ambaye amejidhatiti kuichezea Hispania kimataifa hapo baadaye atasalia Madrid.

Sought after: The striker, who has 23 goals in 21 games this season, is wanted by Arsenal and Chelsea
Mshambuliaji Costa ana magoli 23 katika jumla ya michezo 21 msimu huu anatakiwa na vilabu vya Arsenal na Chelsea

Akikaririwa na gazeti la Marca amkurugenzi huyo amesema 'Kwasasa Costa hafikirii kuondoka amejidhatiti na Atletico.
'ameongeza mkataba na sisi jambo ambalo ni muhimu. Ameonyesha kuendelea na klabu hii.'
Katika hatua nyingine imeelezwa kuwa endapo Costa ataamua kuondoka Rojiblanco, Atletico inafikiria kumsajili mshambuliaji wa Aston Villa Christian Benteke.
Replacement: Should Costa leave, Atletico are said to be lining up Christian Benteke as a replacement
Mbadala: Kama Costa ataondoka, Atletico inasema itamsaka Christian Benteke(pichani juu) kuziba nafasi yake

Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 23 raia wa Belgium amekuwa akionekana kama mwenye kiwango tangu msimu uliopita.
 Kujitokeza kwa maumivu kwa upande wake kumekuwa ni sababu ya mshambuliaji huyo kuwepo au kutokuwepo katika kikosi cha klabu hiyo huku tayari amesha tupia wavuni magoli matano msimu huu goli la mwisho akifunga Septemba 14.

Costa amethaminishwa kwa pauni milioni £32 za kuvunja mkataba wake lakini Arsenal inaonekana kutokuwa tayari kufikia kiwango hicho ili kupata huduma yake.

No comments:

Post a Comment