KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Friday, September 3, 2010

wapiganaji wa stars wakomaa ugenini licha ya maamuzi mabovu ya mwamuzi kikosi kilicho anza katika mchezo dhidi ya Algeria kule Algers kama kilivyo pangwa na mdenish Jan Paulson kama unavyoweza kukiona kwenye picha hiyo hapo juu na kufanikiwa kupata sare ya ugenini mbele ya waliokuwa wawakilishi wa dunia kwenye fainali ya kombe la dunia na kupata sare ya bao 1-1.pongezi kwenu na kocha Jan Paulsen.

No comments:

Post a Comment