KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Sunday, November 2, 2014

Huenda Steven Gerrard akaelekea nchini Marekani kiangazi

Steven Gerrard huenda akahamia nchini Marekani majira ya kiangazi
Gerrard ametanabaisha kuwa endapo Liverpool itashindwa kumpatia mkataba mpya baada ya msimu huu angependelea kuhamia sehemu nyingine huku mwanga ukiangazia kuwa huenda akaelekea katika soka la Marekani ambalo linazidi kudumaa
Gerrard (right) has been at Liverpool since making his debut in 1998
Gerrard (kulia)  amekuwepo Liverpool tangu mwaka1998

New York Cosmos ambayo inafanya vizuri katika soka la Amerika ya Kaskazini huenda ukawa ndio muelekea mpya wa Gerrard.
Gerrard shakes hands with Rick Parry in 2004 after signing a new Liverpool deal. A year later, he led the club to a famous Champions League victory in Istanbul
Gerrard akipeana mikono na Rick Parry mwaka 2004 baada ya kusaini mkataba mpya na Liverpool mwaka uliofuata akaisaidia klabu yake kushinda taji la klabu bingwa mjini Istanbul