KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Thursday, September 23, 2010

NICKI MINAJ KUTOKA NA NYINGINE KALI "RIGHT THROUGH ME" MWEZI NOVEMBER
Nicki katika moja ya show
Mapema hapo jana kwa maana ya tarehe 22 kituo cha redio cha Hot 97 cha nchini Mrekani kwa mara ya kwanza kimecheza kwa majaribio ngoma mpya ya Onika Maraj “Nicki Minaj” "Right Through Me" ambao tunaarifiwa kutoka mwezi November kupitia album yake mpya ya "Pink Friday" .

Na mapema katika majira haya ya kiangazi Nicki mwenyewe alionmgea kupitia MTV juu ya ngoma hiyo akisema "everyone's gonna like it." Kwa hiyo msomaji wa blog hii kaa tayari kudaka ngoma hiyo


Nicki katika pozi nene

No comments:

Post a Comment