KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Monday, October 4, 2010

MARIO HANA ADABU HATA KIDOGO

Nyota wa music wa R&B Mario alilazimika kuingia katika mikono ya jeshi la polisi huko Baltimore October mosi akihusishwa na mashitaka ya kumpa kashkash mama yek mzazi katika nyumba moja wanayo tumia pamoja .
Taarifa hizo zimethibitishwa na msemaji wa polisi

Kwa mujibu wa taarifa ya kipolisi imearifu kuwa mama mzazi wa nyota huyo Shawntia Hardaway ameliambia jeshi hilo la polisi ya kuwa kijana wake Mario Dewar Barrett alikuwa akirusha hovyo mali na samani zilizomo ndani ya nyumba hiyo na la kustajabisha kabisa ni kitendo chake cha kumsukuma mama yake kifuani na mabegani na kisha kumsukuma kwanguvu karibu umbali wa futi nane ukutani chumbani kwa mama huyo

Hata hivyo mama huyo alipoulizwa kama anamuogopa kijana wake kuhusina na mwenendo wa kijana wake Hardaway alijibu ndio .
Kwa mujibu wa TMZ ambao ndio walikuwa wa kwanza kufika eneo la tukio wamekaririwa wakisema Mario alikamatwa kuhusika na tukio hilo na kutoka katika mikono ya jeshi la polisi kwa dhamana ya pauni $50,000.

No comments:

Post a Comment