Goli la Sylvain
Distin likikataliwa katika mchezo ambao Everton ilikataa katakata kufungwa katika
mchezo wao dhidi ya Liverpool kwa mara ya kwanza katika dimba la Anfield tangu
mwaka 1999 katika Merseyside derby.
Sare hiyo
imeifanya Everton kukalia nafasi ya sita katika msimamo wa ligo ikiwa nyuma kwa
alama sita mbele ya Tottenham, ambao wanakalia nafasi ya kufuzu Europa League ikiwa
imesalia na michezo miwili qualifying place, with two games left for Moyes's team
and three for Spurs.
Toffees
ambao waqna alama tano mbele ya wapinzani wao Liverpool pia wana michezo miwili
ambayo wanaitegemea kumaliza wakiwa juu ya wapinzani wao na kumaliza katika
moja yanafasi za juu kwa mara ya kwazan tangu 1937.
Jamie
Carragher alikuwa katika mchezo wake wa 30 wa derby ya Maseryside ambapo katika
derby hizo jumla ya michezo alishuhudia ushindi wa timu yake sare tisa na
kufungwa michezo four.
Ajax are crowned Dutch Eredivisie league champions
Ajax imesheherekea taji lao la tatu mfululizo
katika ligi ya uholanzi baada ya kuibomoa Willem 2 Tilbirg kwa mabao 5-0.
Ushindi huo umewafanya klabu hiyo ya
Amsterdam kuwa mbele kwa alama nne huku wakisubiri mchezo wa mwisho dhidi ya Eredivisie
.
Baada ya kutwaa taji hilo ambalo ni
la 32 Kocha wa Ajax Frank De Boer anasema
"tulistahili licha ya kwamba walipoteza
alama moja"
De
Boer milestone
Hii ni mara ya kwanza kwa Frank de
Boer kama meneja na pia kama mchezaji wa Ajax kutwaa taji hilo mfululizo mara
tatu
"Tumeonyesha ubora katika muda
wote na tumecheza soka zuri."
Kolbeinn Sigthorsson alifunga goli
la kwanza dakika ya 12 na Christian Eriksen akifunga la tatu ambapo mashabiki
wa Ajax wakaanza kushangia jukwani wakiimba "stand for the champion".
Mabao mengine yalifungwa na Viktor
Fischer, nahodha Siem de Jong na Danny
Hoesen.
PSV jana waliwafunga NEC Nijmegen kwa
mabao 4-2 na sasa wanasubiri mchezo wao wa mwisho kuona kama watafanikiwa
kumaliza katika nafasi ya pili.
Feyenoord wanasaka nafasi ya tatu
kwasasa wakiwa na alama tatu nyuma ya PSV, lakini mabao 37 yanawaweka katika
nafasi mbaya.
Feyenoord itaaungana na Vitesse
Arnhem kucheza Europa League.
He also follows Rinus Michels
(1966-68) and Louis van Gaal (1994-96) in leading the club to a hat-trick of
league titles as manager.
Since World War II, only Guus
Hiddink has accomplished the same feat, with PSV in 1987-89.
Chelsea: Jose Mourinho return hard to resist - Peter
Kenyon
Mtendaji mkuu wa zamani wa Chelsea Peter
Kenyon anadhani kuwa klabu hiyo huenda ikakutana na upinzani mkubwa endapo
itaaachana na mpango wa kumrejesha bosi wa sasa wa Real Madrid Jose Mourinho
Amenukuliwa akisema
"ni klabu ambayo ina mmoja kati
ya makocha wazuri duniani mmiliki bora na klabu bora kitu ambacho ni ngumu
kupinga"
Mourinho
at Chelsea
- 2 June 2004: Appointed manager
- 27 February 2005: Wins Carling Cup, beating Liverpool 3-2
- 30 April 2005: Beats Bolton 2-0 to win Premiership title
- 4 May 2005: Signs new five-year contract
- 29 April 2006: Beats Man Utd 3-0 to win Premiership again
- 27 February 2007: Beats Arsenal 2-1 to win Carling Cup again
- 19 May 2007: Wins FA Cup by beating Man Utd 1-0
- 19 September 2007: Leaves Stamford Bridge
Kenyon ambaye alikuwa msaada mkubwa
wa kuajiriwa kwa Mourinho kwa mara ya kwanza mwaka 2004 amesema kuwa pengine
Pep Guardiola angekuwa na nafasi lakini hayupo labda Manuel Pellegrini anaweza
kuangaliwa.
"Endapo ningekuwa ningepewa
kazi ya kuchukua mmoja kati ya Pellegrini au Jose, Jose angechukua nafasi"
AC Leopards and Esperance through in Champions League
Mabingwa wa mwaka 2012 wa Confederation
Cup AC Leopards imekuwa timu ya kwanza katika Champions League kufuzu kutoka
nchini Congo Brazzaville kutinga hatua ya makundi baada ya kupata ushindi dhidi
ya Entente Setif .
Leopards ilitumia faida ya ushindi
wa mabao 3-1 wa hatua ya 16 katika mchezo wa kwanza na kabla ya matokeo ya
mchezo wa marudiano ambapo Entente ilipigana na kurudisha kwa ushindi kama huyo
na matokeo kusimama kwa sare ya mabao 4-4.
Mshindi alitafutwa kwa njia ya
matuta ambapo Leopards ilipata magoli 5 na wapinzani wao kupata mabao 4.
Entente Setif sasa wanasubiri
wasubiri mchezo wa play-offs kutoka kwa timu itakayopoteza katika michezo ya
shirikisho.
-Recreativo Libolo of Angola imewatoa
Enugu Rangers ya Nigerian, wakishinda nyumbani kwa mabao 3-1 mjini Calulo baada
ya mchezo wa mkondo wa kwanza ulimalizika kwa sare ya bila kufungana.
Mabao yalifungwa na msenegali Henri
Camara na Dario Cardoso akifunga mabao mawili
Bao la Enugu lilifungwa na Sunday
Mba baada ya mapumziko.
Esperance mbvele ya mashabiki wake wamweibuka
na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya JSM Bejaia ya Algeria. Khalil Chammam ndiye
aliyefunga goli kipindi cha pili kwa njia ya penati. Kumbuka mchezo wa kwanza
ulimalizika kwa sare ya bila kufungana
Sewe San Pedro ya Ivory Coast imesonga mbele baada ya sare ya
bila kufungana na FUS Rabat ya Morocco. Timu hizo zilitoshana nguvu katika
mchezo wa kwanza kwa kufungana bao 1-1mjini Abidjan.
Coton Sport of Cameroon waliokuwa
washindi wa pili wa taji miaka mitano iliyopita nyuma ya Ahly imesonga mbele baada ya sare ya jana bila
kufungana ambapo katika mchezo wa kwanza waliibuka na ushindi wa mabao 3-0 mbele
ya Stade Malien ya Mali.
Saint George ya Ethiopia ambayo ina
matumaini ya kuwa klabu ya kwanza kutinga hatua ya makundi hii leo walikuwa
nyumbani dhidi ya Zamalek ya Misri.
Katika mchezo wa kwanza walifanikiwa
kupata sare ya bao 1-1 na mabingwa hao mara tano wiki mbili zilizo pita
wakipata bao la uongozi kupitia kwa Oumed Oukri kabla ya Abdoulaye Cisse kusawazisha.
Mabingwa watetezi Al-Ahly wako
nyumbani leo dhidi ya CA Bizertin ya Tunisia mjini Cairo na mchezo unapigwa
bila ya mashabiki kufuatia mashabiki wake kurusha moto uwanjani katika mchezo
wa hatua ya mwanzo ya timu 32 dhidi ya Tusker ya Kenya
Kocha wao Hossam Al Badry anasema
"Ahly will qualify,"
Katika mchezo wa kwanza walikwenda
sare ya bila kufungana nchini Tunisia.
"We must not let the first leg
result mislead us into complacency as Bizertin are a good team with strong
players."
TP Mazembe ya Democratic Republic of Congo imepunguza
matumaini yao kufuatia kuchapwa kwa mabao 3-1 na Orlando Pirates ya Afrika
kusini mchezo uliofanyika Afrika kusini .
Leo wakiwa mbele ya mashabiki wake
takribani 25,000 wa mji mwa kusini kwa nchi hiyo ya Lubumbashi watakuwa na kazi
ya kuidhoofisha Orlando Pirates na kutinga hatua ya makundio.
No comments:
Post a Comment