kwasababu mwezi mtukufu unakaribia bila shaka wapo waumini wa dini ya kiislamu watakuwa nafunga pia, so bila shaka watu burudani inaondoka na juma lijalo na weekend hii ndo wiki ya mwisho la kuvunja jungu.
Afadhli mwezi uje Hivi ni kwanini kila mwezi usiwe mtukufu? Ni kwanini watu waigize utakatifu kwa mwezi mmoja tu? Na lile VUNJA JUNGU ambalo huambatana na uzinzi si linafanyika just days kabla ya kuanza kwa Ramadhani? Kwa hakika tunastahili kuwaamsha wanadamu kujua kuwa kila mwezi waweza na watakiwa kuwa mtukufu Anyway Natumai mengi yafunzwayo wakati huu yata-stick Blessings
Afadhli mwezi uje
ReplyDeleteHivi ni kwanini kila mwezi usiwe mtukufu? Ni kwanini watu waigize utakatifu kwa mwezi mmoja tu? Na lile VUNJA JUNGU ambalo huambatana na uzinzi si linafanyika just days kabla ya kuanza kwa Ramadhani?
Kwa hakika tunastahili kuwaamsha wanadamu kujua kuwa kila mwezi waweza na watakiwa kuwa mtukufu
Anyway
Natumai mengi yafunzwayo wakati huu yata-stick
Blessings