DAR YOUNG AFRICA MPYA
Hiki ndicho kikosi kipya cha mauwaji cha Dar young Africans msimu huu wa 2010/2011 dhamira ni kurejesha heshima katika mitaa ya Jangwani na Twiga,kimeanza vizuri maandalizi yake kwa kuichapa Telecom Wonderas ya Malawi na kisha kuiadhibi Mtibwa sugar ya Manungu Turiani.
Wana-Yanga wanasubiri kwa hamu kubwa kuanza kwa msimu mpya wakiwa na matumaini makubwa ya kufanya vizuri msimu huu katika ligi kuu ya Tanzania Bara lakini pia michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika.
Eti kikosi cha mauaji. Mauaji gani? Ya kuwapiganisha jangwani?
ReplyDeleteMtaua wooote lakini si Simba wala Kagera Stars
Poleni in advance