![]() |
Sterling akishangilia pamoja na wenzake baada ya kufunga goli dhidi ya Cardiff |
Meneja wa Liverpool Brendan Rodgers amesisitiza kuwa mashabiki wa klabu yake sasa wanastahili kuanza kuota ndoto za ubingwa kwa kufanikiwa kushika nafasi ya kwanza katika msimamo wa ligi katika sikukuu ya Christmas, lakini anasema hawana sababu ya kuridhika ndani kikosi chao.
Imekuwa kinara wa msimamo wa ligi kwa mara ya kwanza katika tarehe kama ya leo yaani Disemba 25 tangu mwaka 2008 walipofanikiwa kufikia hatua hiyo bila kushinda taji mwishoni mwa msimu.
Tangu wakati huo mabingwa hao mara 19 wa ligim kuu ya England wamekuwa wakiporomoka taratibu na licha ya kuwa katika hatua hii msimu huu, lakini msimu uliopia hawakuwa hata katika nusu ya msimamo wa ligi.
Rodgers akitoa mazoezi kwa vijana wake leo
Msimu huu walitereza mpaka chini ya nafasi ya sita, huku wakiwa katika vipindi vinne tofauti vya uongozi wa msimamo na kwa muktadha huo ndipo ambapo meneja Rodgers anaelewa ni kwa nini mashabiki wa klabu hiyo wamekuwa katika 'jubilant mood'.
It is not a feeling which is felt within their Melwood training base, however.
'You
don't get the rewards at Christmas. It is a nostalgic time and people
always want to know where the team is at around Christmas Day,' he said.
'We want to be there but we want to be there at the end of the season and for that there is a lot of hard work ahead.
'It is brilliant for supporters, I am not going to deny them a dream - it is nice for us all to dream.
'It has been a hard period in this club for four or five years and this (being top) was probably a distant thought for them.
Kesho siku ya 'Boxing
Day' Liverpool itakuwa ikipambana dhidi ya Manchester City na itakuwa ikifikia nusu ya msimu mchezo utakao pigwa katika uwanja wa Etihad ambapo Liverpool itakuwa katika changamoto kubwa ya kuonyesha wazi mbio zao za kuwania taji.
Jordan Henderson akitereza kwa furaha baada ya kufunga bao la pili dhidi ya Totternham ambapo Liverpool ilishinda bao 5-0
Wachezaji wa Liverpool wakishangilia kwa nguvu goli la tatu la Jon Flanagan uwanja wa White Hart Lane
'Kikosi kinawachezaji wachache kipindi hiki, tuna wachezaji 17 ambapo ni bahati mbaya sana katika kipindi kama hiki' ameongeza Rodgers.
'hakuna hata mmoja kati ya wale waliokuwa na amaumivu ambaye atareje kipindi hiki.
'Steven
(Gerrard) anapigana sana kurejea na huenda akarejea hivi punde kwani amekuwa akipatiwa matibabu ya msuli.
'Jose
Enrique (mguu) kipindi chake cha mapumziko ya wiki nne kimemalizika alhamisi iliyopita na Daniel Sturridge anaendelea vizuri lakini pengine mpaka mwezi januari(kifundo).'
Mlinzi Glen Johnson anasisitiza kuwa pamoja na matatizo hayo liverpool bado ina wachezaji wa kikosi cha kwanza ambacho kinaweza kupambana na mpinzani wa aina yoyote mkubwa.
Mlinzi kinda wa kulia Jon Flanagan kwasasa anaziba pengo la Jose Enrique na kutokuwa tayari kwa Aly Cissokho katika kiwango ambaye alisajiliwa kwa mkopo kunafanya kiungo kuonekana kama kina pwaya.
Pichani juu Hii ni mwaka 2009 ambapo Manchester United walishinda taji licha ya Liverpool kuingia msimu wa sikukuu wakiwa vinara
No comments:
Post a Comment