KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Thursday, December 26, 2013

Angalia vituko kwa mameneja wa timu za Stoke City na Hull City leo wakati wa michezo yao dhidi ya Newcastle na United.

Not a happy man: Bruce shows his frustration as Hull miss another chance
Inaweza ikawa Krismass nzuri kwako lakini kwa meneja wa Stoke Mark Hughes ilionekana kama sikukuu kwake haikuwa nzuri kufuatia kuonyesha hasira katika dimba la St James siku ya leo ya Boxing Day.
Bosi huyo wa Potters alionekana kupoteza utulivu na kulitupa koti lake juu baada ya kutolewa na mwamuzi wa mchezo Martin Atkinson na kumpeleka jukwaani katika mchezo dhidi ya Newcastle wa ligi kuu ya England.
Hasira zaidi zilijitokeza kwa bosi huyo baada ya kuona Glenn Whelan akitolewa nje ya uwanja baada ya kupewa kadi ya pili ya njano ambapo Hughes alishindwa kuvumilia juu ya maamuzi hayoHaving a strop: Stoke manager Mark Hughes takes off his coat in disgust after being sent to the stands by referee Martin Atkinson
Meneja wa Stoke Mark Hughes akivua koti kwa hasira baada ya kutolewa katika eneo la ufundi na mwamuzi Martin Atkinson
Mark Hughes
Mark Hughes

Hughes akifanya vituko vya kufunga mwaka baada ya kuamuliwa aende jukwaani pichani juu anaonekana akitupa koti lake hewani akiwa jukwaani
 
Time to go: Hughes goes off in a strop after being sent to the stands

Meneja huyo wa zamani wa Manchester City, Fulham na QPR alitolewa na mwamuzi Atkinson baada ya kushauriwa na mwamuzi wa mezani Robert Madley.
Hughes baadaye akatupa koti lake la mazoezi hewani kabla ya kuelekea vyumbani.
Mambo yalizidi unga kwa bosi huyo wa Stoke baada ya Marc Wilson kutolewa nje.
Wilson alimvuta Loic Remy katika eneo la hatari na mshambuliaji huyo wa Newcastle Remy kuanguka

Kituko kingine Manchester vs Hull City

Losing his cool: Steve Bruce throws his water bottle on the ground during Hull's defeat to Manchester United
Kituko kingine Steve Bruce akipiga chini chupa yake ya maji kwa hasira wakati wa mchezo wa Hull dhidi ya Manchester United
Not a happy man: Bruce shows his frustration as Hull miss another chance
Bruce akionyesha hasira zake
Raging: Bruce can't believe his side have missed another chance
Bruce haamini kikosi chake kikikosa nafasi nyingine ya kufunga.

Katika uwanja wa KC bosi wa Hull City Steve Bruce alionyesha zake wakati wa mchezo dhidi ya Manchester United ambao walifungwa kwa mabao 2-0 ambapo alipiga chini chupa ya maji.
Bosi huyo wa Hull City alishindwa kuzuia hasira zake baada ya Danny Graham kukosa nafasi ya wazi ya kufunga 'golden opportunity' ambapo angeweza kufunga bao la kusawazisha.

No comments:

Post a Comment