Rooney alipata baraka za familia yake kabla ya kuandika bao la pili la United dhidi ya Hull City
 |
Wayne Rooney alivyokuwa katika kipindi kizuri cha mafanikio yake katika kusheherekea sikukuu ya Krismass kabla ya kuelekea mazoezini uwanja wa Carrington kabla ya mchezo dhidi ya Hull City ambao United walishinda mabao 3-2 bao la Pili likifungwa na Rooney.
Pichani juu nyota huyo wa United akipiga picha ya pamoja na familia yake akiwemo mkewe Colleen na watoto wake Klay and Kai
|
No comments:
Post a Comment