Manchester
United imerejea tena kwa mara ya pili kumtega kiungo wa Hispania na Barcelona Cesc
Fabregas.
United ilihibitisha
kuweka mezani pauni milioni £25 kwa ajili ya kiungo huyo mwenye umri wa miaka 26
hii leo jumatatu na imeongeza kiwango hicho mpaka kufikia pauni milioni £30 na
nyongeza ya mambo mengine kadhaa huku makamu mwenyekiti wa klabu hiyo Ed
Woodward akiongoza mazungumzo.
No comments:
Post a Comment