Kocha wa Orlando
Pirates Roger de Sa ameelezea kile alichokiona katika mchezo wao wa jana wa
pili wa klabu bingwa barani Afrika kama ni upendeleo wa hali ya juu kuwahi
kushuhudia uliofanywa na mwamuzi wakati wa mchezo wao huo dhidi ya TP Mazembe mjini
Lubunmbashi.
Amenukuliwa akisema
"the
worst I have seen in 35 years of competitive sport."
Pirates maarufu
kama ‘Buccaneers’ iliyomaliza mchezo ikiwa na wachezaji 10 uwanjani ilipoteza
mchezo huo hu kwa kufngwa bao 1-0 lakini ikifanikiwa kufuzu hatua ya makundi ya
michuano hiyo kwa ushindi wa jumla wa mabao 3-2 kufuatia ushindi wao wa mchezo
wa kwanza nchini Afrika Kusini wa mabao 3-1.
De Sa
amesema kiwango cha upendeleo kilicho fanywa na mwamuzi raia wa Seychelles kilikuwa
hakifanani na hali ya kawaida.
"Ilikuwa
ni ndoto na sikudhani kama niliwahi kushuhudia kitu kama hicho katika maisha
yangu michezo" .
"Mbali
na hilo pia penati mbili walizo zawadiwa Mazembe – ziliokolewa na mlinda mlango
Senzo Meyiwa zilikuwa hazieleweki ikiwa ni pamoja na kutolewa kwa nahodha wa
Pirates Lucky Lekgwathi kipindi cha kwanza kilitufanya kuwa under siege (kuwa
katika hali ya mawindo ya kuumizwa) kufuatia vitendo vya mwamuzi katika mchezo
mzima.
"wakati
mechi ikiendelea nilianzan kujiuliza hivi hivi vitu vinatokea kweli? Hivi huu
ni mchezo?' na kama ndio sikuwahi kuwa sehemu ya."
Baada ya Meyiwa
kuokoa penati katika dakika ya 90 mchezo ukaongezwa muda kwa dakika 8 ambazo De
Sa amesema alikuwa akisali mwamuzi huyo asiwape tena penati Mazembe dhidi yao
Pirates.
"I'm
not one who believes sporting contests are influenced by divine
intervention," said the Pirates coach, "but while my players put up
an extraordinary brave performance under the circumstances, I could not help
thinking at times somebody up their must like us and had come to our assistance
in overcoming the uneven odds.
"Hata sehemu
fulani ya mashabiki wa Mazembe ambao walikuwa kama 30 000 walianza
kutushangilia kwasababu walikuwa wamekubali kile kilichokuwa kinatokea uwanjani
na bado timu yao haikuweza kupata goli lingine ambalo lingewapa nafasi ya
kusonga mbele kwa hatua inayofuata."
De Sa anasema
ilikuwa "extreme irony" jambo ambalo kitendo cha mwamuzi kinaweza
kugharimu ushindi mara mbili Mazembe katika mashindano katika kipindi cha miaka
mitatu iliyopita.
"wachezaji
wa Mazembe walikuwa wakisubiri mwamuzi awasaidie badala ya kufanya kazi yao.
"Niliwaambia
wachezaji wangu waepuke tackles pale itakapo wezekana kwa kuwa wangeadhibiwa.
De Sa anasema
ni ngumu kwenda DRC kuliko sehemu nyingine yoyote .
"The
hotel accommodation for the night we spent in the country was adequate and we
had no complaints about the artificial pitch installed at the stadium by Fifa.
The
Buccaneers, the only South African team to have won the premier African club
tournament in 1995, returned to South Africa on Sunday night to a heroes
welcome of about 2 000 supporters.
They now go
into Tuesday's draw – to decide the two groups of four for the round robin
stage of the competition – with a chance to salvage what has been a frustrating
season. They have only an outside chance of retaining the Premier League title
they won in the previous two seasons.
"It's a
must win against Mamelodi Sundowns on Saturday," said De Sa, "but it
will be good to return to soccer normality."
ILIKUWA VITA LUBUMBASHI- Meyiwa
Mlinda mlando
wa Orlando Pirates Senzo Meyiwa ameelezea ushindi wao wa jana dhidi ya Mazembe
kuwa ilikuwa ajabu “Amazing”.
Mlinda mlango
huyo wa Bafana Bafana alikuwa nyota wa mchezo .
“This was not a game, it was war,”
Ushindi wao
wa jumla wa mabao 3-2 unawavusha Buccaneers
mabingwa hao wa mwaka 1995 katika hatua ya makundi kwa mara ya kwanza tangu
2006.
Barcelona: Tito Vilanova kufanyiwa vipimo jumatano jijini New York
Kocha mkuu
wa Barcelona Tito Vilanova atasafiri kuelekea New York wiki hii kwa ajili ya
kuangaliwa afya yake baada ya kuwa katika matibabu ya kansa hukohuko mwezi December.
Vilanova
mwenye umri wa miaka 44, alikuwa katika dug-out
jumapili wakati wa mchezo wa ushindi wa mabao 4-2 dhidi ya Real Betis katika
dimba la Nou Camp.
Endapo Real
Madrid itashindwa katika mchezo wao wa jumatano hiyo moja kwa moja itawapata
taji bila jasho Barcelona ambapo Vilanova atazikosa shangwe za ushindi wa taji
la msimu.
Amekaririwa akisema
"Nakwenda
kwa ajili ya uangalizi na nitarejea alahamisi"
Endapo
kikosi cha mreno Jose Mourinho kitashindwa kuchomza na ushindi na kupata lama
tatu nyumabni dhidi ya Malaga hiyo jumatano ni wazi kwamba Catalans watatwaa taji la nne ndani ya kipindi cha miaka.
Hata kama Real
itaibuka na ushindi , Barca watakuwa wana hitaji alama mbili tu kutwaa taji
hilo huku nafasi nyingine ni jumamosi dhidi ya Atletico Madrid walio katika
nafasi ya tatu.
Mwanasheria wa kesi ya Bosman, Jean-Louis
Dupont awapeleka tena Uefa kikaangoni juu ya sheria ya FFA
Mwanasheria
ambaye alikuwa msaada katika mabadiliko ya sheria za soka barani ulaya landmark Bosman case ameweka malalamiko
mengine dhidi ya European Commission juu
ya sheria ya Financial Fair Play
(FFP) ya EUFA.
Sheria ya
FFP iliwekwa kuhakikisha vilabu vinatumia pungufu ya mapato yao ya msimu ambapo
yeye anataka sheria hiyo mpya ianze kutumika mwisho wa msimu wa 2013-14
What are Uefa's Financial Fair Play
regulations?
• The Club
Financial Control Body (CFCB) was set up in June 2012 to oversee the application
of the Uefa Club Licensing System and Financial Fair Play Regulations
• Clubs
cannot repeatedly spend more than their generated revenues, and clubs will be
obliged to meet all their transfer and employee payment commitments at all
times
•
Higher-risk clubs that fail certain indicators will also be required to provide
budgets detailing their strategic plans
• Teams
participating in Uefa club competitions have had their transfer and employee
payables monitored since the summer of 2011. The break-even assessment covering
the financial years ending 2012 and 2013 will be assessed during 2013-14
Mwanasheria Jean-Louis
Dupont anadai kuwa sheria ya FFP inavunja sheria ya michuano ya Ulaya
Amekaririwa akisema
"wamkiliki
wa vilabu wanazuiwa kutanuka hata kama utanukaji wao utakuwa na manufaa ya
kukuza vilabu,".
December
1995, Jean-Marc Bosman mwenye umri wa miaka 31 raia wa Belgium alipinga sheria ya uhamisho
wa wachezaji katika mahakama ya Ulaya kwa msingi wa kibiashara.
Aliposhinda kesi
mwaka huo sheria za mabadiliko zikapewa jina la Bosman law ambapo miongoni mwa sheria hizo ni kuruhusu wachezaji
wenye umri zaidi ya miaka 24 kuhama klabu zao baada ya kumaliza mkataba bila ya
transfer fee pia ikamaliza kikwazo
cha uhamisho wa wachezaji wa kigeni kutoka nchi wanachama wa Ulaya.
Dupont pia
alikuwa ni sehemu ya timu ya wanasheria ambao walishinda sheria hizo na
nyingine nyingi ambapo waliongoza kesi iliyolazimisha Uefa na Fifa kufidia
vilabu ambavyo wachezaji wao waliumia katika majukumu ya kitaifa.
Mwanasheria huyo
anasema FFP itazuia mapato kwa pande zote yaani wachezaji na mawakala wa
wachezaji na pia itapunguza mambo mbalimbali ya shughuli za uhamisho na kwamba
vilabu vikubwa vya Ulaya vitazidi kunufaika na kutawala soka.
Anasema
pamoja na kwamba sheria hiyo imepitishwa lakini bado uwanja wa kukata rufaa upo
kwani Uefa inaweza kufaidika na kufikia malengo yao.
European
Commission imethibtisha kupopea malalamiko hayo lakini imeshindwa kusema lolote
juu ya hilo.
Uefa iliiadhibu
Besiktas ya Uturuki mwaka uliopita kwa kushindwa kulipia mahitaji yao na madeni
kama ilivyokuwa kwa Malaga ya Hispania December 2012.
THE BOSMAN RULING EXPLAINED
-
On
15 December 1995, the European Court of Justice ruled that players should be
free to move when their contracts had expired
-
It
also ruled that EU clubs could hire any number of European Union players
Mario Balotelli analia na Allegri asiondoke AC Milan.
Mario
Balotelli ametaka AC Milan kufanya kila iwezavyo kumbakisha kocha wake mkuu Massimiliano
Allegri.
Allegri
mwenye umri wa miaka 45 amekuwa akihusishwa na kutaka kuelekea katika klabu ya
AS Roma baada ya kuwepo taarifa kuwa kiungo wa zamani wa Milan Clarence Seedorf
au Mark van Bommel wanaweza kuchukua
nafasi yake.
Amenukuliwa na
Mediaset bnaada ya mchezo wa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Torino Baloteli
akisema
"Nina
imani atasalia kwani ninafuraha kuwa naye " .
"Endapo
ningekuwa ndio klabu ningefanya kila kitu asalie"
Jumamosi iliyopita
, Milan ilitoa taarifa ikipinga tetesi za kuondoka kwa Allegri baada ya kuwepo
taarifa kuwa amkubali mkataba wa miaka mitatu wa kuifundisha Roma.
Allegri lishinda
taji la Serie A katika msimu wake wa kwanza katika viunga vya San Siro kama
meneja msimu wa 2010-11, na alimaliza katika nafasi ya pili msimu uliopiota
nyuma ya Juventus.
Drogba na Sneijder wawapongeza mashabiki wao baada ya kutwaa taji la Uturuki.
Didier
Drogba na Wesley Sneijder wamewapongeza na kuwashukuru mashabiki wa Galatasaray
baada ya ushindi wa taji la ligi ya Uturuki Super Lig.
Kikosi cha Fatih
Terim kimetetea taji baada ya ushindi wa 4-2 dhidi ya Sivasspor hapo jana na
nyota hao kuwashukuru mashabiki wao kwa kuwa pamoja nao msimu mzima.
Amenukuwa Sneijder
akisema
"tumefurahi
kuwa mabingwa tukiwa na aina ya mashabiki hawa. Tuna mashabiki bora kabisa
duniani"
Kwa upande
wake Drogba amesikika akisema
"nimefurahi kuwa sehemu ya kikosi hiki,
mashabiki wetu wanastahili kila kitu.
Rais wa
klabu Unal Aysal, naye vijana wake na kocha wake Terim na amesisitiza timu hiyo
itafanya kila iwezavyo katika mchezo wao dhidi ya Fenerbahce wiki ijayo.
Mancini kumtema Hart mchezo wa fainali ya FA.
Roberto
Mancini amethibtisha kuwa Costel Pantilimon ataanza katika mchezo wa fainali ya
jumamosi wa michuano ya FA dhidi ya Wigan mchezo utakao pigwa katika uwanja wa Wembley
badala ya mlinda mlango nambari moja Joe Hart.
Mlinda mlango
huyo raia wa Romania amekuwa akidaka katika michezo yote ya City ya michuano msimu
huu na kwamba haitakuwa buisara kurejea kwa mlinda mlango nambari moja katika
mchezo wa fainali.
Costel
mwenye umri wa miaka 26 mrefu wa futi 6
na nchi 8 amefungwa goli moja tu katika michezo ya FA msimu huu akifungwa goli
na mshambuliaji wa Chelsea Demba Ba katika nusu fainali.
Alipoulizwa
wakati wa mchezo wa sare ya bila mabao dhidi ya Swansea juu ya kuanza kwa Hart jumamosi Mancini amesema
"si dhani hivyo. Tulisha amua tangu kuanza kwa msimu , Pantilimon anastahili
kucheza"
"Joe alishinda
mataji mawili ya FA miaka miwili iliyopita, akashinda taji la ligi msimu uliopita,
ni kipa mzuri England na nadhani atakuwa ni mwenye furaha kumuona kipa nambari
mbili akicheza katika mchezo mkubwa.
"Najua
anataka kucheza lakini mwanzoni mwa msimu tuliamua kwa pamoja kuwa Pantilimon kucheza
michuano miwili."
No comments:
Post a Comment