Just chillin': Mario Balotelli ametupia picha hii katika ukurasa wake wa twitter akiwa pamoja na mpenzi wake anayempenda sana Fanny Neguesha
Mshambuliaji wa AC Milan na hapo kabla akiichezea Man City Mario Balotelli amekuwa katika mapumziko huko Lake Garda, akiwa na mpenzi wake Fanny Neguesha.
Wawili hao walikuwa wakifurahia jua la kiangazi katika ziwa kubwa huko Italia.
Balotelli ametupia picha yake akiwa anaendesha gari la mwendo kasi aina ya Ferraris na nyingine nyingi akiwa na mavazi ya mapumziko akiwa na madini shingoni.
Balotelli akiwa karibu na magari ya kampuni ya Ferraris akiwa na marafiki.
Balotelli pia ametupia picha hii akifanya mazoezi ya kutupa mateke.
Andrea Pirlo (Ibiza)
Ni moja kati ya mambo ya mvuto ni kumuona Andrea Pirlo
akiwa ufukweni akiota jua la kiangazi katika pwani ya Ibiza.
Amekuwa akifurahia mapumziko yake kabla ya kurejea katika maandalizi ya msimu mpya katika klabu yake ya Juventus.
Pirlo alikuwa huko na mkewe (kama anavyoonekana katika picha ya chini akiwa na watoto wake).
Andrea Pirlo akifurahia mapumziko yake katika pwani ya Ibiza akiwa na mkewe.
Deborah Roversi (kushoto) mke wa Pirlo walifunga ndoa mwaka 2001
Chelsea wakiwa Bangkok
Yeah, OK, ni kama wachezaji wa Chelsea hawako katika holiday - lakini ukweli ni kwamba kazi imeenza kwa kikosi cha Jose Mourinho.
Lakini Romelu Lukaku, Ryan Bertrand, Kevin De Bruyne na Nathaniel Chalobah
wanaonekana wakifurahia utulivu wa maji ya bwawa la kuogelea huko Bangkok.
Romelu Lukaku, Ryan Bertrand, Kevin De Bruyne na Nathaniel Chalobah.
No comments:
Post a Comment