Gareth Bale amwambia bosi wa Spurs Andre Villas-Boas kwamba anataka kuondoka na kuelekea Real Madrid.
Nyota raia wa Wells anataka kuondoka na kuelekea Hispania akiwasili mazoezini katika timu yake hii leo asubuhi.
Bale juu katika picha tofauti juu akiondoka nyumbani kwake Essex akielekea mazoezini katika klabu yake ya Tottenham.
Gareth Bale amemueleza bosi wake Andre Villas-Boas ana kwa ana kuwa anataka kuondoka Tottenham na kujiunga na Real Madrid kiangazi hii.
Hili linakuja likiwa ni pigo kwa Spurs katika siku ya kwanza ya kurejea kwake katika mazoezi baada ya kutokea songombingo la klabu kubwa ya nchini Hispania Real Madrid kuweka ofa ya kumtaka mshambuliaji huyo raia wa Wells yenye thamani ya rekodi ya dunia ya pauni milioni £85.
Mkurugenzi wa michezo wa Real Zinedine Zidane amesema Bale anatakiwa kuruhusiwa ili kukamilisha ndoto yake ya kuelekea Hispania na kuongeza kuwa anakuwa mchezaji bora wa dunai atakapokuwa Bernabeu.
Bale alishinda tuzo mbili za chama cha wachezaji wa kulipwa PFA na tuzo ya tuzo ya waandishi wa habari za michezo FWA mwaka uliopita na anatazamwa kama ni miongoni mwa wachezaji bora wa dunia.
Gareth Bale, ambaye anatazamiwa kuwa mchezaji mwenye thamani kubwa duniani.
Bale alifanya mazungumzo na kiongozi wa juu wa klabu hiyo ya Spurs Daniel Levy baada ya mabadiloko ya moyo wake kuelekea Hispania.
Join us: Zinedine Zidane (right), with Real boss Carlo Ancelotti, have been on a charm offensive
Touchline: Tottenham manager Andre Villas-Boas was desperate to keep hold of his key man
Dynamic duo: Bale thrived under Villas-Boas' management at White Hart Lane last season
World record: The deal for Bale eclipses the £80m fee Real paid for star man Cristiano Ronaldo in 2009
Holding his hands up: Bale will only consider moving to Real Madrid at this stage, not Manchester United
On his way: The Spanish media are clearly
excited by the potential arrival of the Welsh winger, with sports paper
AS even crediting 'Daily Mail' reports on their front page
Poster boy: Bale is a valuable marketing tool for Spurs, with this poster in Times Square, New York
No comments:
Post a Comment