Cesc Fabregas ndiye kinara wa mawindo ya Manchester United msimu huu wa uhamisho wa wachezaji wakiwa tayari kuvunja rekodi ya uhamisho kwa kuweka mezani pendekezo lao la tatu la kumtaka kiungo huyo.
Manchester United inajipanga kuvunja rekodi yao ya uhamisho kwa kuwasilisha pendekezo lao la jaribio la mara ya tatu na likiwa ni pendekezo la mwisho la pauni milioni £35 la kumtaka kiungo wa Barcelona Cesc Fabregas.
Kiungo huyo wa kimataifa wa Hispania ndiye kinara wa mawindo ya msimu huu wa uhamisho ya meneja mpya wa United David Moyes mwenye lengo la kuimarisha safu yake ya ushambuliaji kabla ya kuanza kwa msimu mpya wa ligi kuu ya soka nchini England.
Mabingwa hao wa ligi hiyo maarufu kama Barclays Premier League wamekuwa katika mazungumzo na Barcelona wiki kadha zilizopita ambapo walianza na pauni milioni £26 na baadaye £30 ambazo zote zilikataliwa na Barcelona wazee wa Katalunya.

UNITED'S RECORD BUYS
Roy Keane (Nottingham Forest, £3.75m - July 1993)
Andy Cole (Newcastle, £7m - January 1995)
Jaap Stam (PSV, £10.75m - July 1998)
Dwight Yorke (Aston Villa, £12.6m - August 1998)
Ruud van Nistelrooy (PSV, £19m - July 2001)
Juan Sebastian Veron (Lazio, £28.1m - July 2001)
Rio Ferdinand (Leeds, £30m - July 2002)
Dimitar Berbatov (Tottenham, £30.75m - September 2008).

Kwasasa United inajipanga upya kuwasilisha ombi lao la mara ya tatu linano karibia kufika pauni milioni £35 pamoja na ziada kiasi ambacho kitavunja rekodi ya klabu hiyo ya pauni milioni £30.75 ya meneja Sir Alex
Ferguson kwa ajili ya kumnunua Dimitar Berbatov mwaka 2008.
Spain game: Despite United's determination, Fabregas is unlikely to be sold by Barca.
Fighting the cause: David Moyes has already seen two bids turned down for the Barcelona man
No comments:
Post a Comment