Shirikisho la soka dunia Fifa limekubali kuunda kikosi kazi (taskforce) kuangalia tarehe mbadala ya kuandaa michuano ya kombe la dunia nchini Qatar mwaka 2022.
Lakini maamuzi ya mwisho ya juu ya michuano hiyo yenye utata yanatakiwa kupatikana kabla ya michuano kombe la dunia mwaka 2014.
Hofu kwamba Qatar kuna joto kali wakati wakati wa kiangazi ndio imeleta hali ya sintofahamu kiasi mjadala kulikumba shirikisho la soka duniani.
Kikosi kazi hicho kitashauri wataalamu wa utabibu, watangazaji wadhamini wakuu wa ligi mbalimbali barani Ulaya.
Taarifa ya Blatter hii leo imesomeka kuwa
"tunahitaji kufanya mashauriano ya kina na kuonyesha We need to carry out very deep consultations and
investigations and show some diplomacy and wisdom," said Fifa president
Sepp Blatter.
At the climax of a two-day meeting in Zurich, Blatter
also confirmed Asian Football Confederation president Sheikh Salman bin
Ibrahim al-Khalifa would head the taskforce.
The BBC understands that Fifa is considering inviting
English Premier League chief executive Richard Scudamore to be a member
of the working group.
No comments:
Post a Comment