Picha za kikosi cha Coastal Union ya Tanga wakielekea kambini Pemba kwa makeke ya udhamini wa kiwanda cha kutengeneza unga cha Pembe
Wachezaji wa Coastal Union wakiwa uwanja wa ndege Tanga wakipanda ndege kuelekea Pemba kwa ajili ya kuweka kambi ya Mazoezi kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao wa Ligi kuu soka tanzania bara ,safari hiyo imedhaminiwa na wafadhili wa timu hiyo kiwanda cha Unga mkoani Tanga Pembe..
Wachezaji wa Coastal Union wakiwa uwanja wa ndege Tanga wakipanda ndege kuelekea Pemba kwa ajili ya kuweka kambi ya Mazoezi kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao wa Ligi kuu soka tanzania bara ,safari hiyo imedhaminiwa na wafadhili wa timu hiyo kiwanda cha Unga mkoani Tanga Pembe.
Wachezaji wa Coastal Union wakiwa uwanja wa ndege Tanga wakipanda ndege kuelekea Pemba kwa ajili ya kuweka kambi ya kabla ya kuanza msimu ujao wa Ligi kuu soka tanzania bara , kambi hiyo imedhaminiwa na wafadhili wa timu hiyo kiwanda cha Unga mkoani Tanga Pembe..
No comments:
Post a Comment