Steven Gerrard huenda akahamia nchini Marekani majira ya kiangazi
Gerrard ametanabaisha kuwa endapo Liverpool itashindwa kumpatia mkataba mpya baada ya msimu huu angependelea kuhamia sehemu nyingine huku mwanga ukiangazia kuwa huenda akaelekea katika soka la Marekani ambalo linazidi kudumaa
Gerrard (kulia) amekuwepo Liverpool tangu mwaka1998
New
York Cosmos ambayo inafanya vizuri katika soka la Amerika ya Kaskazini huenda ukawa ndio muelekea mpya wa Gerrard.
Gerrard akipeana mikono na Rick Parry
mwaka 2004 baada ya kusaini mkataba mpya na Liverpool mwaka uliofuata akaisaidia klabu yake kushinda taji la klabu bingwa mjini Istanbul
No comments:
Post a Comment