KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Thursday, January 16, 2014

Jurgen Klopp: Zlatan Ibrahimovic ni 'an extraordinary talent' lakini hana nafasi kiungani Signal Iduna Park.

Jurgen Klopp anaamini kuwa mshambuliaji Zlatan Ibrahimovic ni 'an extraordinary talent lakini anasema kuwa Borussia Dotmund haina nafasi ya kumsajili ya kusajili mshambuliaji huyo wa Paris Saint-Germain.

Kocha huyo wa Dortmund alikuwa akiongea hilo muda mfuapia baada ya kukutana naye katika hafla ya Ballon d'Or ambapo mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Sweden kiutani alimtania Klopp amsajili wakati atakapokuwa katika mpango wa kufanya usajili.

Wakati bosi huyo wa BVB akisema kuwa Ibrahimovic ambaye ni mshindi wa tunzo ya Ferenc Puskask aliyozawadiwa kwa kufunga goli murua dhidi ya England ni mchezaji mkubwa mwenye kipaji lakini hana nafasi ya kupelekea katika viunga vya Signal Iduna Park.

"Nampenda, napenda uchezaji wake, ni 'extraordinary player'. hata hivyo sina mpango wa kuchukua mchezaji wa kiwango chake" Klopp alikuwa akiongea n DPA wakati wa ziara yao ya mapunziko ya kipindi cha majira ya baridi huko La Manga.

No comments:

Post a Comment