KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Thursday, January 16, 2014

XAVI kukamilisha mchezo wa 700 akiichezea Barcelona dhidi ya Getafe usiku huu

 Xavi Hernandez anaelekea kutengeneza mchezo wake wa 700 wa kuitumikia Barcelona ndani ya Catalunya ukiwa ni mchezo wa michuano ya Copa del Rey dhidi ya Getafe usiku huu.

KIUNGO huyo alishikilia rekodi ya kucheza michezo mingi kwa Blaugrana tangu wakati huo alipo vunja rekodi iliyowekwa na mlinzi wa zamani wa klabu hiyo Migueli ya michezo 549 aliyoweka mwaka 2011 na kwasasa akiwa juu ya nahodha wa sasa wa klabu hiyo Carles Puyol, mwenye michezo 589 endapo ataichezea timu yake usiku huu.

Xavi alianza kuichezea klabu hiyo wakati huo ikiwa chini ya Louis van Gaal na kushinda La Liga katika msimu wake kwa kwanza na kikosi hicho ambapo alitangazwa kushinda tunzo ya 'Primera Division's Breakthrough Player of the Year.

No comments:

Post a Comment