KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Thursday, January 16, 2014

Van Persie: Rooney na mimi kila mmoja anamfanya mwenzie kuwa bora. Anazungumzia ndoto za maisha yake. Bofya zaidi....

Robin van Persie anasema 'partnership' yake na Wayne Rooney imezidi kuwaboresha wote wawili

  • Robin van Persie anasema Wayne Rooney mdiye anayemfanya kuwa bora
  • Mduchi huyo ana kila kitu alichonacho mshambuliaji wa England Rooney
  • Wote wa ubara wa 'nine-and-a-halves'
  • Ushauri wa meneja wa zamani wa Uholanzi Marco van Basten umemsaidia katika maisha yake. 
  • Mfungaji huyo anatamani goli la Patrick Kluivert la ushindi la fainali ya klabu bingwa Ulaya mwaka 1995
Robin van Persie anasema uwepo wa Wayne Rooney unamfanya yeye kuwa bora na anaamini kuwa ana kila kisifa cha cha uchezaji kinachofanana naye ndani ya Manchester United. 

Wawili hao wako nje ya uwanja kufuatia kusumbuliwa na maumivu na United iko katika wakati mgumu katika safu yake ya ushambuliaji kutokana na kukosekana kwao wakati huu.

Msimu uliopita walitupia kwa pamoja jumla ya mabao 38 kiasi kuisaidia United kushinda taji la 'Premier League'.
Compliment: Van Persie said the pair are so good together because they are both 'nine and a halves'

And Van Persie anadhani kuna mengi yatakuja kutokana na ushirikiano wao wa pamoja.
'Tunajiami kuwa tuko imara zaidi tunapocheza pamoja kama  'partnership' Mduchi huyo amekaririwa na jarida la UEFA Champions.
'Tuko imara katika kila kitu na unatakiwa kuwa imara katika kila jambo maishani, unapokuwa pamoja na aina ya mtu mwenye kariba ya Wayne (Wayne’s calibre), tutafika mbali zaidi na tunaweza kuwa bora zaidi.
'Mchezo mmoja anafunga mawili na mimi mchezo mwingine nafunga mawili. Ni muhimu hii partnership iwe imara'

Katika hatua nyingine, Van Persie ameweka wazi kuwa maneno ya kujenga kutoka kwa mkongwe wa AC Milan ambaye pia ni meneja wa zamani wa Uholanzi Marco van Basten yamemsaidia kuongeza makali yake ya kufumania nyavu.

'Jinsi (Van Basten) anavyoutazama mchezo wa mpira wa miguu alikuwa kama 'ice cold,' anasema Van Persie.

'Nakumbuka mchezo dhidi ya Manchester City nilipiga mwamba wa juu wa goli, mara moja, na kupiga mlingoti wa pembeni mara mbili na nafasi kutumika uzuri licha ya kupoteza mchezo.

'Nilipokwenda kuichezea Uhplanzi aliniuliza “How was your game?” nikajibu “Yes, actually quite good.” akaendelea kuniuliza swali hilo “How was your game?” Nikamjibu “Yes actually not bad. Sikuwa na bahati lakini nadhani nilicheza vizuri, nilipoga mlingoti na mwamba...”
'Akasema“No, no, Robin, haitoshi. unatakiwa kuhakikisha kuwa unafunga magoli na sio kugonga mwamba na mlingoti wa goli, hutakiwi kuwa mwenye furaha kwa kugonga mwamba na mlingoti haitoshi.
 Niliangalia mchezo ule na ulitakiwa kubadilisha akili yako katika hali kama ile .” 
Anasema Van Persie mkongwe huyo alinifungua akili kwasababu alikuwa sahihi

Ice cold: Marco van Basten changed Van Persie's mentality by saying that the striker should not be pleased with hitting the woodwork
Pichani juu: Marco van Basten aliyeibadili akili ya Van Persie


Van Persie na kikosi kizima cha United watakuwa wakirejea katika michuano ya Champions League mwezi ujao wakijipanga kukutana dhidi ya Olympiacos katika hatua ya mtoano ya 16 bora.

Mzaliwa huyo wa Rotterdam alikuwa kinda wa miaka 11 wakati akiitazama Ajax ikinyakuwa taji la vilabu Ulaya mwaka 1995 shukrani kwa bao la Patrick Kluivert ambalo lilitosha kuipa ubingwa Ajax mbele ya AC Milan ya Italia.
Van Persie anasema hilo ni miongoni mwa magoli ambayo anatamani kuyafunga katika uchezaji wake wa mpira.

'Halikuwa bao zuri lakini lilibadilisha maisha yake kwani lilikuwa goli muhimu
One wish: Van Persie says Patrick Kluivert's winning goal in the 1995 Champions League final against AC Milan was the one he wishes he'd scored
One wish: Van Persie says Patrick Kluivert's winning goal in the 1995 Champions League final against AC Milan was the one he wishes he'd scored

'Goli la Arjen Robben mwaka jana lilikuwa 'very special', kufunga katika dakika ya 89, ni ndoto kuwa kweli kwakweli nilimfurahia sana nilipo ona hivyo

The Big interview: The Dutchman on the cover of UEFA Champions magazine
Mduchi Van Persie katika ukurasa wa juu wa jarida la UEFA Champions

No comments:

Post a Comment