KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Thursday, July 29, 2010

Nawashukuru wale wote ambao wanaendelea kuikarabati blog hii ambayo hapana shaka yoyote baada ya kukamilika kwake itakuwa ni kioo safi cha kujitazamia na kutengeneza uzani wa kujipima ni wapia tunatoka na wapi tunakwenda kwa lengo la kulenga maendeleo ya mtanzania katika nyanja zote.
Bado naendelea kazi na mkandarasi wangu kujua nini kifanyike ili kuifanya kuwa ni bora kwa kuwapatia watembeao kwa vidole vya mikono wakibofya hapa na pale waweze kufaidi matunda ya mtandao huu ambao unajopo la wanahabari wenye uweledi wa kutosha katika kutimiza majukumu yao kwa kuzingati maadili ya fani yao na wenye ni ya kuandika bila kujali ni nani, ana wadhifa gani, kafanya nini ,kwa faida ya nani ,kakosea wapi ,nini kifanyike na majibu yake kupatikana kupitia hapa.

nimeona blog nyingi na taarifa nyingi zikiandikwa iwe kwa uzuri au kwa ubaya na mimi kupata changamoto ya kufungua ukurasa huu ili nitoe changamoto ya kutosha,
hapa ni siasa, jamii, uchumi na burudani na michezo.ukarabati bado unaendelea.endeleeni kusubiri.sitasita kuwasalimia kila nipatapo nafasi.

No comments:

Post a Comment