Thomas Vermaelen,
ambaye alisaini kwa Barcelona kwa ada ya uhamisho ya pauni milioni £15 mapema kiangazi licha ya matamanio ya Louis van Gaal ndani ya Old Trafford, ameonekana akitafuta sehemu ya kuishi akiwa na mpenzi wake mwingereza ambaye pia ni mtangazaji wa Televisheni Polly Parsons.
Alipowasili Nou Camp, mlinzi huyo raia wa Belgium alinukuliwa akisema
'Hii ni ni moja kati ya vilabu vikubwa dunia, hivyo haikuwa ngumu kwake kufanya maamuzi, kila mmoja anataka kucheza hapa hivyo mimi sina tofauti na hao'
No comments:
Post a Comment