KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Monday, August 23, 2010

Miss Universe - Tanzania

Ningependa kuwakumbusha Watanzania kuwa leo ndiyo siku ambayo mtanzania huyo unayemuona hapo juu Hellen Dusen atakuwa akiipeperusha bendera ya Tanzania katika shindano la kumsaka miss universe shindano ambalo ninafanyika katika jiji la Las Vegas nchini Marekani.kwa dua zenu lolote linaweza kutokea akashinda taji hilo kubwa la urembo duniani blog hii inamtakia kila la kheri katika shindano hilo mungu ibariki Tanzania.Tazama video hii wakati akijaribu kujibu baadhi ya maswali na kuonyesha uwezo wake wa kujibu na ufahamu wake katika baadhi ya mambo.

No comments:

Post a Comment