KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Sunday, August 22, 2010

SEMANYA ASHINDA MBIO ZA MITA 800 HUKO UJERUMANI Caster Semenya,amefanikiwa kushinda katika mbio za mita 800.
Katika tukio kama hilo mwaka jana mwanadada huyo toka Afrika kusini alishinda mbio hizo kabla ya baadaye kukabiliwa na shutuma nzito juu ya jinsia yake na baadaye kufanyiwa uchunguzi ambao haukufua dafu.

Dada huyo mwenye umri wa miaka 19 amerejea kwa mara ya tatu katika mbio mwezi July na kukimbia kwa dakika 1:59.90 na kuamsha mpango wake wa kukumbia katika mbio za madola mwezi October nchini India.

Dada mwingine toka Kenya Cherono Koech ameshika nafasi ya pili ,Elisa Piccione akishika nafasi ya tatu huku mwingereza Jemma Simpson akishika nafasi ya nne akikimbia kwa muda wa dakika 2:00.57.

No comments:

Post a Comment