KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Wednesday, September 29, 2010

TANZANIA NA WATANZANIA KWA UJUMLA HAWANA MATATIZO NA UWAKILISHI WAKO KATIKA SHINDANO LA KUMSAKA MREMBO WA DUNIA HUKO SANYA ONGEZA KUJIAMINI NA UWE NA MUNGU WAKATI WOTE MUNGU IBARIKI TANZANIA
Mrembo huyu ni Geneveve Emmanuel Mpangala mrembo wa Tanzania ambaye ataiwakilisha Tanzania katika shindano kubwa la kumsaka mrembo wa dunia wa 60 shindano ambalo limepangwa kufanyika kule Sanya nchini India jumamosi ya tarehe 30.Blog hii inamtakika safari njema na maandalizi mema ya mwisho mwisho na mungu akipenda arejee na taji la dunia safari njema,hapo alikuwa akikabidhiwa bendera.

No comments:

Post a Comment