KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Sunday, June 17, 2012

Mokoena kurejea nyumbani baada ya miaka mingi ulaya


Nahodha wa zamani wa timu ya taifa ya Afrika kusini Former Aaron Mokoena anajipanga kujisajili na klabu ya ligi kuu ya nchini Afrika kusini ya Bidvest Wits.
Mlinzi huyo wa Portsmouth amekubali mambo yote ya msingi yakiwemo binafsi kurejea nyumani baada ya miaka 13 akicheza soka barani Ulaya.
Kwa mujibu wa wakala wake Paul Mitchell amenukuliwa akisema
"vilabu mbalimbali vinamtaka lakini Aaron anaonekana kutaka kurejea nyumbani na kuwa sehemu ya mradi wa ,"
Baada ya kujiunga na Blackburn Rovers mwaka 2009 amefanikiwa kuichezea michezo 19 .
Mokoena atakuwa akifuata nyayo za mchezaji mwingine wa zamani wa  Bafana McCarthy kurejea nyumbani South Africa.
Akiwa barani Ulaya amechezea vilabu kadhaa ikiwemo  Ajax Amsterdam na Bayer Leverkusen.

No comments:

Post a Comment