KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Friday, November 5, 2010

Hodgson ampongeza Gerrard Bosi wa Liverpool Roy Hodgson amempongeza nyoita wake Steven Gerrard baada ya nahodha huyo kuonyesha kiwango cha kukuna katika mchezo wa ligi ndogo ya ulaya dhidi ya Napoli.
Gerrard mwenye umri wa miaka 30, aliingia kipindi cha pili wakati Liverpool ikiwa nyuma kwa bao 1-0 na kufanikiwa kipiga “hat-trick” iliyopelekea Liverpool kuapata matokeo ambayo yanaifanya iweze kuongoza kundi la K na kumulika macho katika hatua ya timu 32 za mwisho.
Akikaririwa Hodgson anasema kilikuwa ni kiwango cha hali ya juu

No comments:

Post a Comment