Van Persie:
Man Utd are 'perfect match'
Robin van
Persie amesema amesikiliza "the little boy inside him" wakati
akifanya maamuzi kuondoka Arsenal na kuelekea Manchester United.
Robin van
Persie atakuwa akivalia jezi namba 20 katika klabu yake mpya ya Manchester
United
Van Persie
alikamilisha mipango ya kujiunga na Manchester United hapo jana baada ya
makubaliano na mashetani wekundu kwa mpango wa kuwepo ndani ya klabu hiyo kwa
miaka minne ndani ya Old Trafford.
Akizungumzia
maamuzi yake Van Persie amesema
"katika
mazingira kama yale kama unataka kufanya maamuzi lazima utakuwa katika wakati
mgumu, siku zote nafanya maamuzi kwa kile kilichoko moyoni “I
always listen to that little boy inside me”. Nini anataka? Kijana Yule mdogo
alikuwa anataka Manchester United.
Kila nikiitazama
Manchester United naona inapumua soka kama utawatazama wachezaji meneja ,
uwanja vyote vinaharufu ya soka ,maamuzi yangu yalikuja haraka ''
No comments:
Post a Comment