Kenya yaongoza kwa medali katika michezo ya 17 ya riadha yaliyo fanyika nairobi nchini kenya
Edwin Soi kushoto akimpita mpinzani wake Vincent Yator na kushinda mbio za mita 5000 katika michezo ya riadha ya 17 barani Afrika iliyofanyika katika jiji la Nairobi kuanzia tarehe 28 na kumalizika tarehe 1 august maarufu kama Mohamed Amin
Katika mbio za mita 10000 Dibaba alimshinda Masai wa kenya katika mbio ambazo zilikuwa na msisimko katika siku ya nne ya michuano hiyo na kuifanya Ethiopian kushinda medali ya kwanza ya dhahabu
Rudisha sizzles akikimbia kwa muda wa 1:42.84 aliiwezesha kenya kunyakuwa medali ya tatu katika mbio zilizo kimbiwa katika siku ya tatu ya michuano hiyo ya riadha huku Nairobi . Kwa ujumla wenyeji kenya walifanikiwa kutawala mbio hizo na kufanikiwa kujikusanyia jumla ya medali tano za dhahabu mpaka siku ya mwisho mbio ambzo zilipewa jina la mbio za 17th za Safaricom African Athletics Championships lakini kulikuwa na matukio mengi ya kufurahia huku baadhi ya wanariadha kukaribiana sana katika kumalizia mbio zao pamoja na mambo kadhaa ya kushangaza huku watazamaji kadhaa wakijitokeza kushuhudia katika uwanja ambao kila siku ulikuwa ukifurika uwanja wa Nyayo .

No comments:
Post a Comment