|
Pichani 1-Waziri wa Habari,Vijana, Utamaduni na
Michezo, Dk. Fenella Mkangara kulia akimvisha mkanda wa ubingwa wa WBF
bondia Fransic Miyeyusho baada ya kumtwanga Nassibu Ramadhani kwa T.K.O
raundi ya kumi kushoto ni promota wa mpambano huo Mohamed Bawazir.
|
|
Picha 2- Fransis Miyeyusho akibebwa na mashabiki wake baada ya kushinda kwa T.K.O. |
Picha 3-Miyeyusho akisukuma konde la mbavu kwa Nassib Ramadhani wakati wa mchezo wa kuwania mkanda wa WBF mchezo uliofanyika ukumbi wa Karume PTA.
|
Mapema kabisa mashabiki wakijitahidi kuingia ukumbini. |
No comments:
Post a Comment