KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Monday, January 28, 2013

FAINALI ZA MATAIFA YA AFRIKA: AFRIKA KUSINI YATINGA ROBO KWA SHIDA.

South Africa players celebrate
Pichani:May Mahlangu akipongezwa na wachezaji wenzake baada ya kuandika bao la kusawazisha kunako dakika ta 71 kabla ya Abdelilah Hafid kuongeza lingine dakika 11 baadaye 11 minutes.

 Timu ya taifa ya Afrika kusini baada ya kupata goli la kusawazisha katika dakika za mwisho na kufanya matokeo kusomeka 2-2 dhidi ya Morocco usiku wa jana(jumapili) imefanikiwa kufuzu hatua ya robo fainali na kuongoza kundi A.

 Morocco imeondolewa baada ya kufuatia kwenda sare katika michezo yake yote mitatu.
Wenyeji walipata nafasi ya kusawazisha zikiwa zimesalia dakika nne mchezo huo kumalizika kabla ya mlinzi Siyabonga kufanikiwa kubata bao la kusawazisha.
Issam El Adoua aliandika bao la uongozi kwa Morocco kunako dakika ya 10 mchezo uliochezwa katika dimba la Moses Mabhida.
Top of the group: South Africa's May Mahlangu celebrates his goal against Morocco
May Mahlangu akishangilia baada ya kuandika dhidi ya Moroccohapo jana.
 Afrika kusini sasa watasalia jijini Durban kumsubiri mshindi wa pili wa kundi B atapatikana hii leo.
Close: Morocco came within minutes of earning their first win of the competition
Close: Morocco came within minutes of earning their first win of the competition

No comments:

Post a Comment