KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Saturday, February 9, 2013

ARSENAL YAIKUNGUTA SUNDERLAND BAO 1-0, LAKINI WILSHERE KUSUBIRI MICHEZO KADHAA BAADA YA KUGONGANA NA N'DIAYE.

Down: Jack Wilshere was in distress when receiving treatment after the collision
Jack Wilshere aligumia maumivu wakati akipatiwa matibabu baada ya kugongana na Alfred N'Diaye.
Furious: As Wilshere hobbled off, Arsene Wenger was irate with the referee
Kiungo wa Arsenal Jack Wilshere amelazimika kutolewa uwanjani katika dakika za mwisho za mchezo wao dhidi ya Sunderland mchezo ambao umemalizika kwa Arsenal kuibuka na ushindi wa bao 1-0.
Jack Wilshere amepatwa namaumivu ya paja baada ya kukabilianana Alfred N'Diaye.
Haikuwa ni dhoruba kubwa kati yake na nyota huyo mpya wa Sunderland, lakini Wilshere alilazimika kuondolewa uwanjani na nafasi yake kuchukuliwa na Abou Diaby ambapo ilikuwa ikitaka kulinda ushindi katika mchezo wa leo.
Arsene Wenger alionekana kukasirishwa na aina ya tackling aliyofanyiwa kiungo wake ambapo inavyoonekana ni wazi kuwa atakuwa nje ya uwanja kwa zaidi ya mchezo mmoja.
Meneja huyo wa Arsenal baada ya mchezo amesikika akisema anamatumaini kuwa Wilsheakuwa njen ya uwanja kwa siku chache jambo ambalo limeonekana kuleta nafuu ya hofu yake.
Furious: As Wilshere hobbled off, Arsene Wenger was irate with the refereeKatika mchezo huo uliopigwa Stadium of Light, bao la Arsenal lilifungwa na Santi Cazorla katika kipindi cha kwanza kwa shuti la chini chini na kumpita mlinda mlango Simon Mignolet.Fighting: Wilshere and N'Diaye go head to head for the ball
Wilshere na N'Diaye katika vita ya kuwania mpira.

Smash: Bramble came in with a heavy tackle on the Arsenal midfielder
Titus Bramble akifanya tackling kwa kiungo wa Arsenal.
 Competitive: Wilshere and Lee Cattermole getting to grips with each other in the middle of the park
Wilshere na Lee Cattermole wakionyeshana uwezo katika eneo la kiungo.Winner: Santi Cazorla's strike was the only goal of the game
Shambulizi la Santi Cazorla lillilozaa goli la mchezo.

No comments:

Post a Comment