KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Friday, February 8, 2013

DIDIER DROGBA ALAKIWA NA MAMIA WAKATI AKIWASILI UTURUKI NA KUJIUNGA RASMI NA GALATASARAY.

Mobbed: Didier Drogba is surrounded by photographers after arriving in Istanbul
Didier Drogba akiwa amezungukwa na wapiga picha baada ya kuwasili Istanbul hii leo.
Didier Drogba amepata mapokezi makubwa alipowasili katika jiji la Istanbul baada ya kukubaliwa kujiunga na Galatasaray ya Uturuki katika uhamisho wa dirisha la usaliji la mwezi  January.
Kama ilivyopata mapokezi ya aina hiyo kiungo wa zamani wa Inter Milan Wesley Sneijder aliwasili Uturuki  mwezi, naye Drogba ameonyesha kufurahishwa kufurahishwa na kujiunga na klabu hiyo ya udachi baada ya kuondoka katika klabu ya uchina ya Shanghai Shenhua.
Nahodha huyo wa timu ya taifa ya Ivory Coast alichelwa kuwasili nchini Uturuki kutokana na kuwepo nchini Afrika Kusini alikokuwa akiitumikia timu ya taifa lake katika michuano ya mataifa ya Afrika.
New chapter: Didier Drogba held up a Galatasaray flag after arriving in Istanbul this afternoon
Didier Drogba akiwa ameshika bendera ya Galatasaray baada ya kuwasili Istanbul mchana wa leo.
Unveiled: Drogba holds up a scarf with his name emblazoned across
Drogba akiwa ameshika kitambaa ambacho kimeandikwa jina lake.
 
Drogba mshambuliaji huyo wa zamani wa Chelsea ameelekea Uturuki baada ya ndoto yake ya kutwaa taji la mataifa ya kushindwa kutimia kwa mara nyingine kufuatia Ivory Coast kufungwa na Nigeria katika mchezo wa robo fainali.
Drogba alishuka katika ndege akiwa ameshikilia kitambaa ambacho kilikuwa na rangi za Galatasaray kabla ya kukutana na kocha Fatih Terim.
Alipowasili katika uwanja wa mazoezi wa klabu ya Galatasaray aliongea na kituo cha televisheni cha Galatasaray ambapo alinukuliwa akisema,
'Nimekutana na kocha licha ya kwamba si mara ya kwanza kukutana naye. Ananikumbuka tangu timu ya taifa ya Ivory Coast ilipocheza na Uturuki.
Warm welcome: Drogba received a similar reception to Wesley Sneijder after he arrived in Turkey last month
Drogba amepata mapokezi kama aliyopata kiungo Wesley Sneijder alipowasili Uturuki mwezi uliopita.
Frenzy: Galatasaray fans hold up a flag in tribute for the striker after his arrival at Ataturk Airport
Mashabikiwa Galatasaray wakiwa wanapunga hewani bendera ya klabu hiyo baada ya mshambuliaji huyo kuwasili uwanja wa ndege wa Ataturk.
'Najisikia furaha kuwa hapa kwangu ni changamoto mpya, sehemu mpya ya maisha yangu, nitatumia uwezo wangu wote kuipa mafanikio klabu.'
Drogba atakuwa anaungana na Emmanuel Eboue, ambaye alijiunga na mabingwa hao wa soka nchini Uturuki kiangazi mwaka 2011 akitokea Arsenal.
Mshambuliaji mwingine wa Chelsea Nicolas Anelka aliondoka Stamford Bridge na kuelekea Uchina kabla ya kurejea Ulaya.
Nicolas Anelka alijunga na Shenhua mwezi January mwaka jana lakini akaondoka na kujiunga na kigogo cha Italia Juventus mapema mwezi uliopita.
Hero's welcome: Wesley Sneijder was paraded in the city after his arrival at the same airport last month
Wesley Sneijder alivyopokelewa baada ya kuwasili uwanja wa ndege huohuo mwezi uliopita.
Flare up: The fans were out in full force for the Dutch international's arrival from Inter Milan
Namna ambavyo mashabiki walivyojitokeza kumlaki mduchi Snejder akitokea Inter Milan.
In the mix: Wesley Sneijder has already made the switch from Inter Milan to Galatasaray
Wesley Sneijder akiwa katika vitendo na Galatasaray.

No comments:

Post a Comment