KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Sunday, March 10, 2013

Robo fainali ya FA kurudiwa baada ya matokeo ya Manchester United na Chelsea kwenda sare ya 2-2.

 Heading to the final four: Javier Hernandez nods home United's first goal
Chelsea iliyokuwa nyuma katika kipindi cha kwanza imefanikiwa kupata sare ya bao 2-2 katika mchezo wa robo fainali ya michuano ya FA mchezo ulipigwa katika dimba la na sasa wakisubiri mchezo wa marudiani utakao amua nani wa kusonga mbele.
Javier Hernandez alianza kuiandikia United bao kunako dakika ya 5 kwa kichwa kufuatia krosi ya Michael Carrick.
Dakika sita baadaye Wayne Rooney, akaindika bao la pili baada ya kupiga mpira wa adhabu ulikwenda moja kwa moja wavuni. 
Lakini hata hivyo Chelsea kutoka London ya Kaskazini wakafanikiwa kuandika mabao ya kusawazisha kupitia kwa Eden Hazard aliyetokea benchi na Ramires.
Answering his critics: It didn't take Wayne Rooney long to set the seal on United's victoryHeading to the final four: Javier Hernandez nods home United's first goal
Javier Hernandez akiandika bao la kwanza.On it's way: Hernandez (centre) beats Chelsea keeper Petr Cech with his fifth-minute header
Dejected: John Terry was forced to watch Chelsea's FA Cup exit from the bench
John Terry alilazimika kuwa mtazamaji katika benchi.
Heads we win: Manchester United's Shinji Kagawa (right) beats Cezar Azpilicueta in the air
Shinji Kagawa akipambana na Cezar Azpilicueta.
No way through: Tom Cleverley (right) closes down Chelsea's Demba Ba
Tom Cleverley na Demba Ba
High life: Rooney is mobbed after scoring United's second goal (above, as United striker Robin van Persie (below) watches from the benchHigh life: Rooney is mobbed after scoring United's second goal (above, as United striker Robin van Persie (below) watches from the bench
All square: Ramires curls home to make it 2-2Fightback complete: Ramires celebrates with Oscar (left) after scoring equalizer
Ramires akishangiliaBanishing the blues: Ramires (left), Azpilicueta and Mata (right) salute the travelling army of Chelsea fans
Better the devil you know: Sir Alex Ferguson walks with mascot Fred the Red
Better the devil you know: Sir Alex Ferguson walks with mascot Fred the Red
He's 'armless: Javier Hernandez his held back by Chelsea's Gary Cahill
Javier Hernandez akipambana na Gary Cahill

No comments:

Post a Comment