Impassioned: Cristiano Ronaldo pointed and screamed after scoring against Malaga in mid-week |
Mahusinao mabaya baina ya Jose Mourinho na Cristiano Ronaldo yanaonekana kuelekea kushika kasi wakati huu ambapo kocha huyo wa Real Madrid akijipanga kumalizia michezo yake minne ya mwisho katika viunga vya Santiago Bernabeu.
Ronaldo
alionekana kupitia televisheni ya nchini Hispania akielekeza tusi zito kwa Mourinho katika mchezo wa katikati ya wiki dhidi ya Malaga
ambao Madrid waliibuka na ushindi wa mabao 6-2, huku kituo kimoja cha televisheni cha Hispania 'Cuatro' ,
kikidai kuwa mshambuliaji huyo wa zamanai wa Manchester United alikuwa akimfokea Mourinho kwa maneneno ya Foda-se! (f**k
you!) akielekea katika benchi la timu yake baada ya kufunga bao la 200 kwa timu yake tangu kujiunga nayo.
Inaelezwa kuwa tusi hilo linafuatia baada ya Ronaldo had thumped the club
badge on his shirt and pointed to the pitch beneath him shouting: Inadhaniwa kuwa Ronaldo alitoa maneno ya dhihaka ya ‘I’m
here, I’m here’ nafanya ya yangu uwanjani, likiwa ni jibu kwa Mourinho aliyemkosoa kabla ya mchezo.
Ronaldo akikazia macho katika benchi lake la ufundi baada ya kufunda na akionekana katika mdomo wake kama alikuwa akiongea kitu.
Mourinho alimnyooshea kidole Ronaldo wiki iliyopita akisema ligi ilipoteza mwelekeo tangu mwanzo kwasababu timu ilianza kwa kampeni kwa huzuni. Maneno hayo yalionekana moja kwa moja kufananishwa na maneno ya Ronaldo yaliyofanana aliyoyatoa hadharani kuwa hakuwa ni mwenye furaha mwezi September baada ya mchezo dhidi ya Granada.
Ronaldo aliwaambia wanahabari hakuwa ni mwenye furaha baada ya kuulizwa ni kwanini hakushangilia goli lake baada ya kufunga.
Maoni ya Mourinho yalikuja siku tatu baada ya Ronaldo kujibu swali la hatma ya baadaye ya kocha wake.
Ronaldo alisema:
'Haijalishi kwa upande wangu. Ninachokijali ni hatama yangu mwenye na klabu.'
Ronaldo na Jose Mourinho waliwahi kuwa na maoni tofauti kwa mujibu wa Raul Albiol
Kuliwahi kutokea kutokuelewana baina yao mapema mwaka huu pale ambapo Mourinho aliporipotiwa akimkosoa Ronaldo kwa kutokujituma katika dakika za mwisho wa mchezo wa kwanza wa Spanish Cup dhidi ya Valencia mwezi January.
Mlinzi wa Real Madrid Raul Albiol amewatete wawili hao akisema:
'Ni hali ya kubadilishana mawazo na hakuna zaidi ya hilo.'
Ronaldo alikuwa vizuri sana baada ya kuifungia Real Madrid bao la 200.
Raul Albiol akishangilai goli alilofinga katika mchezo dhidi ya Malaga.
Uhusiano wa Mourinho na mshambuliaji huyo haukuwa mzuri sana kama ilivyokuwa wakati akiichezea Manchester United ya Sir Alex Ferguson.
Ronaldo kwasasa ana magoli nane nyuma ya Hugo Sanchez anayeongoza kwa kuifungia Madrid mabao mengi. Endapo atafanikiwa kumpita raia huyo wa Mexico atakuwa ni miongoni kwa wafungaji bora wa muda wote watano wa klabu hiyo.
No comments:
Post a Comment