KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Friday, July 26, 2013

ATLETICO MINEIRO YAWAAMBIA ARSENAL KAMA WANAMTAKA BERNARD WATENGE PAUNI MILIONI 25.

Mineiro tell Arsenal they can have Bernard for £25m
Atletico Mineiro inajipanga na maisha bila ya Bernard (Picture: Getty)
Atletico Mineiro imeambia Arsenal kuwa wanaweza kumpata mchezaji wake Bernard Anício Caldeira Duarte kwa pauni milioni 25 baada ya uongozi kumuweka rasmi sokoni.

Mineiro ambayo ilitwaa taji la vilabu Marekani ya Kusini wiki iliyopita tayari imejiweka tayari kuwa maisha bila ya kiungo mwenye umri wa miaka 20 wakati huu ambapo washika mitutu wakiwa wameonyesha nia ya kunasa saini yake.

Arsene Wenger amekuwa akimfuatia kwa muda mrefu kiungo huyo ambaye anatabiriwa kuwa nyota mkubwa hapo baadaye kutokea Marekani ya kusini.

Kwa mujibu wa mkuruhenzi wa Mineiro Eduardo Maluf, amesema wanachotakiwa kufanya Arsenal ni kufikia dau la angalau pauni milioni £25
Brazilian Atletico Mineiro's Bernard (2-

No comments:

Post a Comment