KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Wednesday, August 7, 2013

WABAGUZI WA RANGI KWA WACHEZAJI WA SOKA NCHINI ENGLAND SASA KUKIONA CHA MOTO.

Wachezaji wa Premier League na Football League watakuwa wakipata ulinzi kutoka katika chama cha wachezaji wa wakulipwa PFA katika kukabiliana na lugha za kibaguzi.

PFA wataendesha kesi kwa njia ya mjadala wa kina na mlengwa wa tukio na mwisho kufikia hali ya kujiridhisha na sessions will focus (deemed banter or acceptable jibes)

Mameneja wote wa vilabu 92 wamekuwa wakiwasiliana na PFA wakitakiwa kuhakikisha wachezaji wao wanahudhuria.

Mtendaji mkuu wa PFA Gordon Taylor amenukuliwa akisema 
"Tunataka kuepeuka aina yoyote ya manyanyaso kufuatia kesi za hivi karibuni."

Katika kipindi cha misimu miwili iliyopita Mlinzi wa Chelsea John Terry na mshambuliaji wa Liverpool Luis Suarez wote kwa pamoja walikumbwa na adhabu ya kufuangiwa kutokana na vitendo hivyo.

Adhabu mpya ya FA ni kusimama kwa angalau michezo mitano kwa kosa la kwanza la kibaguzi au kadhia ya kijinsia (homophobic abuse).

Katika kusikiliza kesi hizo, mchezaji ataelezea tukio zima lilivyotokea , kama ni kutoka kwa mashabiki au kutoka kwa wachezaji na kuongozwa mpaka kufikia ukweli.

Pia mbaguzi huyo na lugha ya iliyotumika , wachezaji wataonywa kutokutumia lugha hiyo ya kibaguzi kwa kuangazia maelekzo ya dini au uwezo wa kilemavu.

No comments:

Post a Comment