KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Friday, September 13, 2013

Cristiano Ronaldo amfanyia kitu mbaya Gareth Bale mazoezini kwa kumkamua bila huruma kifundo cha mguu.

That's just for starters: Ronaldo looks up at Bale after as Pepe in the background looks on
Incoming: Cristiano Ronaldo decides to launch into a slide tackle on Gareth Bale
Cristiano Ronaldo akimrukia bila huruma Gareth Bale kwa style ya tackling.
Locked on: Ronaldo's boot is studs up but grounded as he homes in on Bale
Locked on: Ronaldo's boot is studs up but grounded as he homes in on Bale.

Direct hit: Bale feels the full force as Ronaldo slides through his ankle
Direct hit: Bale feels the full force as Ronaldo slides through his ankle

 Baada ya kuupoteza uthamani wake wa kuwa mchezaji mwenye gharama kubwa ya usajili kuliko wote duniani baada ya kuzidiwa na Gareth Bale, inadhaniwa huenda Cristiano Ronaldo atakuwa akihitaji kumkaribisha mshambuliaji mwenzake mpya ndani ya Real Madrid Bale kwa njia ya kipekee.

Ikiwa ni siku ya tatu ya mazoezi kamili tangu ajiunge na Madrid akitokea Tottenham kwa uhamisho wa pauni milioni £86, Bale amekutana na daruga la Ronaldo kwa style ya tackling kutoka kwa mshambuliaji wa zamani wa Manchester United ambaye huenda alikuwa akitaka kumuonyesha mshambuliaji wa kimataifa wa Wells uchawi wake ambao unamfanya aendelee kuwa bosi viungani Bernabeu.

Licha ya kwamba Pepe aliona na kuanza kucheza kwa pembeni kwa kile kilichoonekana kama ni mkabiliano wa aina yake katika mazoezi kwa wawili hao huku uchunguzi wa karibu ukionyesha kuwa Ronaldo hakuwa na huruma kwa kumrukia katika kifundo cha mguu wa Bale.

Bale alionekana baadaye kuwa yuko sawa baada ya tukio hilo lakini haikuwa ni mara ya kwanza. 

Kwa kweli mazoezi ya leo yalikuwa na changamoto nyingi sana kutoka kwa Ronaldo kwenda kwa Bale ambaye alionekana kujiuliza juu ya aina ya tackling muda mfupi baadaye.

Ronaldo alikuwa ndiye mchezaji mwenye thamani kubwa duniani kufuatia kusajiliwa kwa rekodi ya dunia kwa wakati ule ya pauni milioni £80 kuelekea Madrid akitokea Manchester United mwaka 2009.
Makabiliano baina ya wawili hao yanasogeza karibu dhana ya kwamba huenda kukaibuka kwa ushindani wa ndani kwa ndani ambayo yataisadia Madrid katika kampeni yake ya kutaka kushinda taji la La Liga pamoja na kutwaa taji ligi ya mabingwa kwa mara ya kwanza tangu mwaka 2002.

Leave your foot in: Ronaldo and Bale contest a loose ball
Ronaldo akimkanyaga Bale.
Evasive action: Bale skips Ronaldo's challenge on this occasion
Bale akirusha mguu kuepuka dhahma ya daruga la Ronaldo.
Backing out: Ronaldo stands his ground as he wins the duel
There's more where that came from: Ronaldo chats to Bale in training
Kisha siginwa kidole.
Go easy! Ronaldo appears to question a point made by Bale

No comments:

Post a Comment