Mapato ya mashetani wekundu Manchester United yapanda kwa asilimia 13.4% baada ya kufikia pauni milioni £363.2 ndani ya kipindi cha miezi 12 mpaka kufikia Juni 2013, huku udhamini, mauzo na uuzaji wa hisa.
Kupanda kwa asilimia 29.7% ni kutokana na udhamini mpya mauzo ya vifaa ambayo yameingiza pauni milioni £152.5.
No comments:
Post a Comment