CHELSEA NA ARSENAL KATIKA PICHA:
|
First blood: Cesar Azpilicueta wheels away after opening the scoring for Chelsea from an incisive counter
Katika mashindano ya Capital one huko uingereza
Arsenal ambao wako kileleni mwa ligi kuu ya uingereza waligaragazwa bila
huruma na Chelsea kwa mabao mawili kwa bila.
Lakini Chlesea walipokuwa
wakiwatesa the Arsenal nyumbani kwao Manchester United waliwachapa
Norwich kwa mabao manne kwa bila.
Hii inafanya Man u Kushinda mara sita
mfulululizo, bila shaka na kumpa Moyes matumaini ya kufanya vizuri
katika ligii ya Uingereza halikadhalika kombe hilo la Capital one.
Na katika kile kinachonekana kuwa wanasoka wa
afrika wameshuka katika chati ni kiungo wa kati Yaya Toure pekee kutoka
Ivory Coast ambaye yumo katika orodha ya wachezaji 23 walioteuliwa
kuwaniwa tuzo ya mchezaji bora wa Fifa mwaka huo.
Kwa sasa wachezaji nyota wa zamani kama Didier Drogba, Samuel Eto'o na Michael Essien wanaonekana kufifia.
Na Yaya Toure yuko nchini Kenya katika juhudi za kupiga vita biashara haramu ya pembe za ndovu.
Toure saa ni balozi wa shirika la mazingira
duniani UNEP. Mchezaji huyo mshidi mara mbili barani Afrika alifurahi
katika hotuba yake kukubali wadhifa huo mpya.
|
|
Party time: Juan Mata (left) and Cesar Azpilicueta celebrate on the team bus after bagging a goal apiece
|
|
Easily done: Juan Mata netted Chelsea's second goal of the game with a beautiful strike
|
|
Huddle up: Azpilicueta is congratulated by his Chelsea team-mates after scoring in the first half
|
|
In it goes: Lukasz Fanianski (left) is unable to get off his line quick enough to close down the Spaniard
|
No comments:
Post a Comment