Big moment: Nicklas Bendtner celebrates with Bacary Sagna after scoring his late goal |
Arsenal imeichapa Cardiff isiyokuwa na menena mabao 2-0 na kurejea katika usukani wa ligi kuu ya Barclays Premier League mchezo ukichezwa Emirates Stadium, ambaopo Ole Gunnar Solskjaer alikuwa jukwaani akiufuatialia mchezo huo.
The Bluebirds walifanikiwa kuhimiliwa mikiki ya safu ya ushambuliaji ya Arsenal mpaka dakika za jioni ambapo badiliko la Arsenal kumuingiza Nicklas Bendtner zikiwa zimesalia dakika mbili mchezo kumalizika zikazaa bao la kwanza kabla ya Theo Walcott kuandika bao la pili dakika ya mwisho ya mchezo.
Matokeo mengine
Finished
|
Swansea
| - |
Manchester City
| (1-1) | ||||||
Finished
|
West Bromwich Albion
| - |
Newcastle United
| (0-0) | ||||||
Finished
|
Sunderland
| - |
Aston Villa
| (0-1) | ||||||
Finished
|
Stoke
| - |
Everton
| (0-0) | ||||||
Finished
|
Arsenal
| - |
Cardiff
| (0-0) | ||||||
Finished
|
Crystal Palace
| - |
Norwich
| (1-1) | ||||||
Finished
|
Southampton
| - |
Chelsea
| (0-0) | ||||||
Finished
|
Liverpool
| - |
Hull
| (1-0) | ||||||
Finished
|
Fulham
| - |
West Ham
|
No comments:
Post a Comment