Uwanja wa Aman Zanzibar ambao unatumika katika michuano ya Mapinduzi hivyo ndivyo sehemu yake ya kuchezea inavyooneka. |
Kocha wa timu ya Taifa ya Italia Cesare Prandile akiwapungua mikono Mashabiki wa soka kabla ya kufungua rasmi michuano ya kombe la mapinduzi huku mchezo rasmi wa ufunguzi uliwakutanisha Simba na AFC Leopard ya Kenya na kumalizika kwa Simba kuifunga Leopards bao 1-0 katika uwanja wa Amani.
Kikosi cha timu ya Leopard kilichocheza na Simba usiku huu na kukubali kufungwa bao bao 1-0.
Kikosi cha timu ya Simba kilicho anza dhidi ya Leopards ya Kenya katika mchezo wa ufunguzi wa Kombe la Mapinduzi.
Viongozi wa Jukwaa Kuu wakifuatilia mchezo wa ufunguzi wa kombe la
Mapinduzi uliofanyika katika uwanja wa amaan usiku huu,ulozikutanisha
timu za Simba ya Tanzania na timu ya Leopard ya Kenya, katika mchezo huu
timu ya Simba imeshinda bao 1--0, kupitia mchezaji wake Amiri Kiemba
katika kipindi cha pili cha mchezo huo.
Mchezaji wa timu ya Simba akimpita beki wa timu ya Leopard, wakati wa mchezo wa ufunguzi wa Kombe la Mapinduzi
No comments:
Post a Comment